Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
First Half Inter Milan alisema watu roho juu 🤣🤣🤣🤣
Kimoyo moyo tunaanza kusema Wameuza Mechi 🤣🤣🤣
Kimoyo moyo tunaanza kusema Wameuza Mechi 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana mkuu ... All the best.
Kama kawaida mapema tuSafi sana mkuu ... All the best.
Kesho usisahau kutupia code
Ipo vizuri,wale wa kuripuka
wivu haukufanyi ufanikiwenilikuwa namchora tu eti anapost mikeka ya ku edit maana sijawahi ona pesa iwe ya kodi au ushindi linganifu mfano ushindi au makato ya kodi kuwa labda 14,000 au 240,000 au 85,000 au 25,777 hizi ni namba za mchongo tu tena kwa kampuni inayokata kodi kama betpawa...bora ingekuwa kampuni zisizokata kodi kama paripesa kidogo angeaminika kwa hizo tarakimu za pesa
Angalia vizuri hiyo mikeka mbona edit inajulikana hapo una edit nn Kinjunganilikuwa namchora tu eti anapost mikeka ya ku edit maana sijawahi ona pesa iwe ya kodi au ushindi linganifu mfano ushindi au makato ya kodi kuwa labda 14,000 au 240,000 au 85,000 au 25,777 hizi ni namba za mchongo tu tena kwa kampuni inayokata kodi kama betpawa...bora ingekuwa kampuni zisizokata kodi kama paripesa kidogo angeaminika kwa hizo tarakimu za pesa
Staili mpya au ulitaka nile dagaa kila siku wivuu hakusaidii utakuta maskinSo unapost Won tickets za mikeka ambayo hukuwahi kupost hapa ili iweje!?
Una viashiria vyote vya utapeli, kila lakheri maana wajinga ni wengi, watakufata inbox.
#TAPELI
saa ya nn?? BrooooUwe unaweka saaa
Nipo mama ulitaka nistake ngapi huo ndio utaratibu wangu mpyaa vp kuna swali la nyongeza 😋😋Naona Kuna mtu anapost mikeka ya correct score win afu anastake 100k 200k , sawa anaona sisi ni watoto
Wewe ni pipa na mfuniko wake. Mambo kama haya tumeyaona hapa kabla hujaanza kubet. Walikuja waongowaongo kama wewe na wakapoteaSafari hiyi nakupuna wew jipange ni mwendo wa kila siku
Kama Wewe ni wa kike Sawa kwa huu uandishiwako , Ila kama ni wa kiume Basi Utakuwa umeyaaga mashindanoMkiona nipo kimya juen nipo off line ni ndio mr pipa aka nabii wa mikeka nina upakoo wa motooo kipindi na screen shot lost mlikuwa mnasema sijui kubet leo na woooon mnaniita tapeli kwakweli mtajua wenyewe