Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

✅✅✅
Ila nikajilipua kwa kuwa specific kwa mba hilo goli liwe la simba kwa straight win.
Screenshot_20241228-175722_MelBet.jpg
 
Kuna mikeka mingine hata kushea tunaogopa kuwaingiza watu cha kike. Mfano game ya Inter nimeibetia first half kwa 9000 ishinde lakini imechemka.

Nimeamua kuifata second half kwa over 2.5 na imetoa vizuri tu.
 
Wewe uwe unatoa tu mikeka ... Hii ni bahati nasibu ... Ona Sasa umetunyima hela ya supu
 
Kuna mikeka mingine hata kushea tunaogopa kuwaingiza watu cha kike. Mfano game ya Inter nimeibetia first half kwa 9000 ishinde lakini imechemka.

Nimeamua kuifata second half kwa over 2.5 na imetoa vizuri tu.

Yap,live score ku share ngum mnoo

Maana mpaka unapost mtu aingie online muda na Odds zimeishakatika

Hii mechi nilikuwa naiangalia hapa Home,Dalili za Cagliari kufungwa zilikuwepo,walizidiwa ila ukabaji wa Hali ya juu
 
Ni kweli kushea live ni ngumu. Ila mimi kuna muda timu nikiwa na uhakika nayo kwa 60% huwa naifata first half oddszinakuwa kubwa kidogo, ikichemka tayari nakuwa na jibu kamili la jinsi ya kuifanya pale kwenye kipindi cha mapumziko.
Yap,live score ku share ngum mnoo

Maana mpaka unapost mtu aingie online muda na Odds zimeishakatika

Hii mechi nilikuwa naiangalia hapa Home,Dalili za Cagliari kufungwa zilikuwepo,walizidiwa ila ukabaji wa Hali ya juu
 
Kuna kitu kimenitokea leo kwenye mechi ya Simba.
Nilimpa Simba Win nikaweka hela yote kwenye akaunti, nikathibitisha haipo. Baadae nakuta wameniwekea nimebet 500
Naomba kujua hiyo ni kampuni Gani ? Je ni Parimatch?
 
Back
Top Bottom