mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 3,074
- 6,472
Mnataka vya bureeee hapa nyoka hatambui ungaaaahii ni kweli au ume edit..weka tena ya leo tukufate sio kutulingishia won tupia huo mkeka wa correct score hapa kabla ya matokeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnataka vya bureeee hapa nyoka hatambui ungaaaahii ni kweli au ume edit..weka tena ya leo tukufate sio kutulingishia won tupia huo mkeka wa correct score hapa kabla ya matokeo
Uzuri sijamuomba mtu sent yake uamin usiamini kwangu hainifanyi nisiii,,,,,,,,,Naona unajitekenya halafu unacheka mwenyewe
Naomba wakala wa melbet1st Half Total Team 2 - over 0.5.
Nazingatia matokeo ya nyuma haya hapa chiniView attachment 3186884
Nipo toka kabla ya haoo ningetaka hela zenu ningeanzisha group telegramHizo game ukiweka hapa au nawewe unataka kutuvuta kama kina Kayombo Tips
Akiweka nishtue, tapeli hilo linavuta watu kwenye 18.hii ni kweli au ume edit..weka tena ya leo tukufate sio kutulingishia won tupia huo mkeka wa correct score hapa kabla ya matokeo
So unapost Won tickets za mikeka ambayo hukuwahi kupost hapa ili iweje!?Nipo toka kabla ya haoo ningetaka hela zenu ningeanzisha group telegram
😁 odds 3 ndo umeweka kinembe 🤣C1CA6C
Odds 3 zingine za uhakika
Weka mbupu
Naomba wakala wa melbet
nilikuwa namchora tu eti anapost mikeka ya ku edit maana sijawahi ona pesa iwe ya kodi au ushindi linganifu mfano ushindi au makato ya kodi kuwa labda 14,000 au 240,000 au 85,000 au 25,777 hizi ni namba za mchongo tu tena kwa kampuni inayokata kodi kama betpawa...bora ingekuwa kampuni zisizokata kodi kama paripesa kidogo angeaminika kwa hizo tarakimu za pesaAkiweka nishtue, tapeli hilo linavuta watu kwenye 18.
😁 odds 3 ndo umeweka kinembe 🤣
Uwe unaweka saaaNipo toka kabla ya haoo ningetaka hela zenu ningeanzisha group telegram
umezitoa wp?Nimeweka mbupu