Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20241229-002333.png

hii game atalanta amekaziwa
 
nilikuwa namchora tu eti anapost mikeka ya ku edit maana sijawahi ona pesa iwe ya kodi au ushindi linganifu mfano ushindi au makato ya kodi kuwa labda 14,000 au 240,000 au 85,000 au 25,777 hizi ni namba za mchongo tu tena kwa kampuni inayokata kodi kama betpawa...bora ingekuwa kampuni zisizokata kodi kama paripesa kidogo angeaminika kwa hizo tarakimu za pesa
wivu haukufanyi ufanikiwe
Hata mkiumia mtajua wenyewe baba hiyi jana woooooooon qudadadake edit na wewe tuone
 
Attachments

  • Recorder_29122024_065600.jpg
    Recorder_29122024_065600.jpg
    191.7 KB · Views: 4
Kwenye mtihani walimu wetu walitufundisha tuanze na maswali tunayoona ni rahisi kwetu hata kama pepa ni gumu.
Ngoja tuanze hapa na hii game ya Yanga pia na Mancity katika jicho la betting.

1. Kwa hali ilivyo Yanga anaaminika kuliko Man city, hivyo ni rahisi Yanga kutoa ngumu kumeza kuliko Man city. YANGA WIN 1H.

2. Mechi kama sio 3 au 4 zote Yanga anapata magoli 1H. Hapa tunaweka YANGA OVER 0.5 au over 1.5 1H kwa ujumla.

3. Kwa kuzingatia kifungu kidogo namba 2 hapo juu, ushindi wote wa Yanga amekuwa akipata magoli mengi 1H. Hii itakuwa na odds 3+

4. 75% ya game ya Man city kunaweza kutokea goli 1H. Kwa kujilipua unaweza kuomba goli 2. Ila mimi binafsi sikomi, nampa ashinde goli 2+ 1H.
Screenshot_20241229-064813_888starz.jpg
 
Mnaahindwa kutumia akili ya kawaida tu kuchanganya mambo mnaanza ooh tapeli ooh anawavuta watu hivi kuna mtu wa kunipa mm pesa humu?? Nikuchukulie ki elfu chako kinisaidie nn ??? Naweka screen shot coz ili ni jukwaa husika la haya mambo wala sitaki mtu aje pm kuniomba mkeka ningetaka kutapel ningeenda fb qudadadake mwingine unakuja hapa ni woooooooon tu kama inakuuma utajua ww
 
Attachments

  • IMG-20241229-WA0016.jpg
    IMG-20241229-WA0016.jpg
    47.9 KB · Views: 3
T
nilikuwa namchora tu eti anapost mikeka ya ku edit maana sijawahi ona pesa iwe ya kodi au ushindi linganifu mfano ushindi au makato ya kodi kuwa labda 14,000 au 240,000 au 85,000 au 25,777 hizi ni namba za mchongo tu tena kwa kampuni inayokata kodi kama betpawa...bora ingekuwa kampuni zisizokata kodi kama paripesa kidogo angeaminika kwa hizo tarakimu za pesa
Angalia vizuri hiyo mikeka mbona edit inajulikana hapo una edit nn Kinjunga
 
Ni
So unapost Won tickets za mikeka ambayo hukuwahi kupost hapa ili iweje!?
Una viashiria vyote vya utapeli, kila lakheri maana wajinga ni wengi, watakufata inbox.
#TAPELI
Staili mpya au ulitaka nile dagaa kila siku wivuu hakusaidii utakuta maskin
 
Mkiona nipo kimya juen nipo off line ni ndio mr pipa aka nabii wa mikeka nina upakoo wa motooo kipindi na screen shot lost mlikuwa mnasema sijui kubet leo na woooon mnaniita tapeli kwakweli mtajua wenyewe
 
Kama Wewe ni wa kike Sawa kwa huu uandishiwako , Ila kama ni wa kiume Basi Utakuwa umeyaaga mashindano
 
Back
Top Bottom