Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Au macho Yangu?Ndugu maofisa ubashiri, siku hizi matimu hayaeleweki, bora kujilipua tu, liwalo na liwe! Kula chuma hiko:
View attachment 3187636
Macho yako tu mkuu, Celtic nimempa over 2.5. Na Man City nimempa direct win, leo atashinda. Hawezi kufungwa hata na vibonde!Au macho Yangu?
Naona kama umemuuwa Celtic?
Sipati code ya sportybet
SportybetUnapoleta Codes inapendeza ukitaja na bookie, watu hawatumii kampuni moja humu.
Hongera sana mkuu. Mchezo gani huu? Hockey au rugby?
😂 We jamaa bhn makasiriko mpka unatukana, asa unachotetea nini apo Yani umepost mkeka na bet ID inasomeka pale juu , ndomana nkasema we unatuona sisi watoto au washamba , bet ID hyo ukisearch haisomi huu mkekaNipo mama ulitaka nistake ngapi huo ndio utaratibu wangu mpyaa vp kuna swali la nyongeza 😋😋
Au macho Yangu?
Naona kama umemuuwa Celtic?
Asante mkuu
Unawzaje ku serach bet ID ya mtu mwingine mkuu au wewe ni admin unafanya kazi kwenye hiyo kampuni anayobeti?😂 We jamaa bhn makasiriko mpka unatukana, asa unachotetea nini apo Yani umepost mkeka na bet ID inasomeka pale juu , ndomana nkasema we unatuona sisi watoto au washamba , bet ID hyo ukisearch haisomi huu mkeka
Bet ID ukiingiza kwenye system si mtu yeyote anaweza kuona. Kama mikeka ya makaratasi badala ya kuangalia tumu moja moja huwa tunaingiza bet ID tu kwa mkeka wa mtu yeyote.Unawzaje ku serach bet ID ya mtu mwingine mkuu au wewe ni admin unafanya kazi kwenye hiyo kampuni anayobeti?
Uko positive sana mkuu....big up!Bet ID ukiingiza kwenye system si mtu yeyote anaweza kuona. Kama mikeka ya makaratasi badala ya kuangalia tumu moja moja huwa tunaingiza bet ID tu kwa mkeka wa mtu yeyote.
Kweli Roho ngum aiseeWenye roho ngumu kama kasongoView attachment 3187651
Hahahaaa kuna muda unajizima data tu kufuata hisia zako.Kweli Roho ngum aisee
First Half migoli Kijiji?
Safi lazima uamini msimamo wako
SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBETMwenye maono ya odds 3+ naombeni jamani.