Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

πŸ˜‚ We jamaa bhn makasiriko mpka unatukana, asa unachotetea nini apo Yani umepost mkeka na bet ID inasomeka pale juu , ndomana nkasema we unatuona sisi watoto au washamba , bet ID hyo ukisearch haisomi huu mkeka
We nawe mmh umeanza kubet lini
 
Hapa mpaka mseme ugali kwa kihindi unaitwaje kuna watu hamnijui ok ok naitwa mr pipa aka nabii wa mikeka kama unaona edit bas edit na ww tuwekee hapa hapa ni won juu ya woon nishaaga kwetu naenda mjini kubet πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • Recorder_29122024_224722.jpg
    195 KB · Views: 28
  • Recorder_29122024_224818.jpg
    714.3 KB · Views: 30
Mwenye uwezo kama wangu aje hapa namtia m3 ooh tunajua kuchambua ooh tunajua kubet ooh nabet toka 2000 ukichek mikeka yake lost moja had 12 afu unaleta maneno ooh edit ooh anataka watapeli kihela chako kunisaidia nn mi nashinda na mo au baresaa kwa siku naingia m8 hadi 20 mshahara wa raisi wako wa mwezi hapo tu namuonea huruma muhindi afu ushindani na mm πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ni ndio pipaaa nabii wa mikeka
 

Attachments

  • Recorder_29122024_225428.jpg
    674.8 KB · Views: 25
Hapa mpaka mseme ugali kwa kihindi unaitwaje kuna watu hamnijui ok ok naitwa mr pipa aka nabii wa mikeka kama unaona edit bas edit na ww tuwekee hapa hapa ni won juu ya woon nishaaga kwetu naenda mjini kubet [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
We jamaa ni mjinga sana lakini utapata wajinga wenzio uwapige hela
 
We jamaa ni mjinga sana lakini utapata wajinga wenzio uwapige hela
Kama imejiunga mwaka juzi jf lazima unishangae mi mkongwe hapa mi na kuku kuku anaa akili mingi sana tulia broo
 
Tukishakula tunarudisha kwa jamii ya mhindi. Tunaomba goli dakika ya 36 1H.
 
Naomba kupata mwongozo wa namna ya kuwa WAKALA wa BETTING. Yaani kuwa na betting shop. Mwenye mawasiliano tafadhali inbox me
 
Naomba kupata mwongozo wa namna ya kuwa WAKALA wa BETTING. Yaani kuwa na betting shop. Mwenye mawasiliano tafadhali inbox me
Hii ndio biashara inalipa 100% kwenye hii game...... RISK FREE
Wewe unakua mtu kati yaani mkamalia akila unapata gawio akiliwa unapata gawio
ROMANO na SIGRA wanapiga sana hela kwa kuwa mawakala wa 1xbet

Kampuni za kibongo zinabana sana uwakala zipo based sana OLINE
Kampuni zenye betting shop kama Meridian Galspot premierbet na Thronbet wana shop zao lakini wameajiri watu wanaendesha wenyewe

Kama ukitafuta channel nzuri ukapata watu wa uhakika kukutumia kama wakala wa 1xbet itakulipa sana, tatizo la njia hii ni kwamba utakua unaifanya kinyume cha sheria kwasababu 1xbet haijasajiliwa Tz

Au njia nyingine ni kutafuta wateja wajiunge na kampuni fulani kisha watumie promo code yako..... kila atakaye jiunga na kudeposit kwa link/code yako basi unapata gawio kama anavyofanya Ser

Tembele website zao kwa taarifa zaidi au hata kiwasiliana nao mkuu unaweza kupata shop yako ukawa unapiga hela zako bila kelele
 
Tujaribu hapa
 

Attachments

  • Screenshot_20241230-105642.png
    161.4 KB · Views: 35
  • Screenshot_20241230-105658.png
    179.2 KB · Views: 33
  • Screenshot_20241230-105710.png
    166.2 KB · Views: 37
  • Screenshot_20241230-105725.png
    149.6 KB · Views: 33
  • Screenshot_20241230-105735.png
    162.9 KB · Views: 33
  • Screenshot_20241230-105747.png
    173.1 KB · Views: 31
  • Screenshot_20241230-105803.png
    172.6 KB · Views: 31
  • Screenshot_20241230-105811.png
    162.2 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…