Hio ya 80k inaweza ikawa mtaji mzuri kwako huko mbeleni ni betting unaweza itao na mkeka ukatiki usikate tamaa wala kuumia ni experience ya kwenye kamari ya kila mtu lakini in safeguarding your asset kuichukua inakupa leverage ya kwenda tena na tena mfano kesho kwa hiyo 80k uka weka timu za 5 odds una 450k mdogo mdogoVip wakuu nichukueView attachment 3192336
Chukua ya chini ya chini kama inaruhusu, harafu ya juu hapo isubirieVip wakuu nichukue
Ya juu Brighton naona ana mkalia kooni Arsenal mambo magumuChukua ya chini ya chini kama inaruhusu, harafu ya juu hapo isubirie
bora kama ulichukua ya juu....Ya juu Brighton naona ana mkalia kooni Arsenal mambo magumu
hizo app zote zinazo fanana na 1xbet ni majangaaa...kuweka hela wanakubali chap ukila kutoa sasaaWakuu hivi Hawa linebet nani anawafaham vizuri nimeona app Yao nimeipenda kidogo sababu inafanana kila kitu na 1xbet ...
Sio janja janja kweli awa
Duh hatari sana kwaiyo wajomba linebet,melbet na paripesa sio waiuwekeza naohizo app zote zinazo fanana na 1xbet ni majangaaa...kuweka hela wanakubali chap ukila kutoa sasaa
Sio sana, vp?Kwema maafisa Ubashiri
Paripesa ndio wanalalamikiwa sana. Melbet hawana shida natumia toka 2019 japo kuna muda walipoteza kidogo.Duh hatari sana kwaiyo wajomba linebet,melbet na paripesa sio waiuwekeza nao
Paripesa wanigeria hao matapeli sanaParipesa ndio wanalalamikiwa sana. Melbet hawana shida natumia toka 2019 japo kuna muda walipoteza kidogo.
Utakuja kulia siku moja,kama hautaki shida Tumia betwinner,Megapari na melbet ziko poaWakuu hivi Hawa linebet nani anawafaham vizuri nimeona app Yao nimeipenda kidogo sababu inafanana kila kitu na 1xbet ...
Sio janja janja kweli awa
Mimi nawekeza na sportybet tu ndugu yangu,nikitwist 1x ndo makampuni nayoayamini..nimeiona hiyo app ndio nikataka niijue zaid kutoka Kwa wajuziUtakuja kulia siku moja,kama hautaki shida Tumia betwinner,Megapari na melbet ziko poa