Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi 1xbet nilikuwa naipenda sana. Walipo leta maswala ya kodi nikasema ya TRA aachiwe serikali na ya mkamaria aachiwe mwenyewe.Mimi nawekeza na sportybet tu ndugu yangu,nikitwist 1x ndo makampuni nayoayamini..nimeiona hiyo app ndio nikataka niijue zaid kutoka Kwa wajuzi
Nenda betpawa wale uhakika mkuu146ECD6A Code Ya mwisho niliyokuwa nii-Stake kwa hawa Mak.uma wa kuitwa
@BetwayTanzania
...sita-code Nao milele! Wamezuia hela yangu!
The One & Only SportyBet Code CCD17A
Liver na Man u nimeiweka hiviTAFAKURI YA LEO
Liverpool vs Man U wapinzani wa jadi ngumu kutabiri mshindi
Watashambuliana sana na uwezekano wa kona za kutosha ni mkubwa
Nenda na
GG Odd 1.65
au
Kona Over 10 Odd 1.60
Al-Masry wazito sana kufunga magoli mengi na wanakutana na waarabu wenzao Zamelekh wa kupaki basi
Wazuie Al-Masry
Under 1.5 Odd 1.4
Fulham Vs Ipswich
No Red Card Odd 1.2
Chagua game mojawapo ya lawama kati ya hizi
Muue Simba Odd 2.4 au
PSG Win Odd 1.6 au
Roma Win Odd 2.6
Tia mzigo kisha agiza kinywaji usubirie maajabu ya matokeo ya mpira ili uje kunishukuru/laumu baadae
Always stake what you can afford to lose 🙏
Kwanini mkuu, vipigo as usualSio sana, vp?
Fanya jambo wangu Nina kimeo cha 70,000 hapa. Niweke hata 10k.Hii imeenda, odds 10 za betpawa zinakujia hivi punde 😂
Vimeo vinatolewa na pesa za kubet? 😆Fanya jambo wangu Nina kimeo cha 70,000 hapa. Niweke hata 10k.
Niko solve kwanza 🤣🤣🤣