Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Grau Joanah Kanji anawaambia hapa
FB_IMG_1735592363869.jpg
 
eti nilimpa liver win kwa handcap ya 0:2, hapa nasonya tu.....

game inaweza kuwa droo hii
 
Sportybet Jackpot ukishinda mechi 11 unaweza ambulia sh ngapi wakuu??
 
Kuna muda odds za Liverpool kushinda ft kabla ya game zilikuwa 1.57 nikataka niweke 100k lakini roho ikasita kwani man u ndio timu inayonichania mikeka mara nyingi iwe nimeiua au nimeipa

Dah
 
Back
Top Bottom