Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,343
Acha tu mkuuTunapigana hivyo hivyo ila ngumi zake nzito kuliko zetu.
Acha tu mkuuTunapigana hivyo hivyo ila ngumi zake nzito kuliko zetu.
Naenda kula KUKU Robo na Pepsi big na Kidude cha buku tu 😅😅😅Ungejua hujui
Halafu unakuja kukuta zile mbili zinatiki
Kidude cha buku ndo kipi na mie niagize sasa hiviNaenda kula KUKU Robo na Pepsi big na Kidude cha buku tu 😅😅😅
Ki K-vant 😀😀😀Kidude cha buku ndo kipi na mie niagize sasa hivi
😂😂😂😂😂
Timu za Italia hata over 0.5 zimeshindwa, zimenichania mikeka miwili.😂😂😂😂😂
Kuna kipindi mtu hutaki makuuu,over 1.5 unajitililia🤣🤣🤣
Ngoja hii January niitafute hiyo 1M ya kubetia tu 🤣🤣🤣Kuna uchawi ndo tabu
Ukistake high mfano uliweka option ya goli 3 unashangaa siku hiyo VAR inavyokataa magoli
Namimi nipo kama wewe napenda liver afungwe ila tena kumpa ashinde sitaki, nikaamua niweke kona over 8.5 zkatoaMoyo unataka liver afungwe Ila kubet nimempa liver ahaha
View attachment 3193007
FREE EXPRESS ON PARIPESA ⚽️
CODE: EDBMX
PARIPESA
Jisajili : https://cutt.ly/hwKXFbXz
👉https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
App Download: https://cutt.ly/EwZzWppF