Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leo siku ngumu sana aisee! Yaani timu zikitoka 00 huwa zinanipiga kipigo kibaya sana.
Kwa chenji iliyobakia wacha niende kiwanja na mimi nikafaidi hela yangu, siwezi kumwachia mhindi pekee.
 
😂😂😂😂😂
Kuna kipindi mtu hutaki makuuu,over 1.5 unajitililia🤣🤣🤣
Timu za Italia hata over 0.5 zimeshindwa, zimenichania mikeka miwili.
Screenshot_20250105-220539_MelBet.jpg
Screenshot_20250105-220434_Megapari.jpg
 
Wazee mbona Hawa sportbety siwaelewi,tangu Jana wanashidwa ku update matokeo nipate changu.
 

Attachments

  • Screenshot_20250106-113955.png
    Screenshot_20250106-113955.png
    135.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom