πππππ€Nabet kuwa Huna million moja hapo ulipo nashinda
π€£π€£π€£π€£Aviator sio kabisa yani ndege inavopigwa bomu na moyo unapasukaga PaaahπAviatorπView attachment 3197557
Kwahiyo ukistake 500 ukidownload wataandika 5?Sportybet ukidownload mkeka wanaweka hivyo mkuu.. kajaribu
Tena usiombe usubiri kindege kipande useme labda ikifika odds 50 natoka halafu inapasukia kwenye arobain na kitu. Ata kama ni 2000 umeweka unaanza ninge ningeπππ€£AviatorπView attachment 3197557
Ngoja tuoneMazembe anaaga Mashindano leo
Dakika 90 zitaamuaUmeliwa, Mazembe hawezi kutoboa kwa waarabu wanaosaka kufuzu! Tena ugenini
Rubani wa mchongo sana πSa rubani si angesema tu kama hataki kupaisha ndege
Ndio u bet sh 100!πππ hapana ukijua na kujitengea kiwango sahihi.
πAsante mkuuHongera mkuu, unatoboa
Starehe yangu moshi mimi 1000 tu kwa siku inantoshaπ€Hiyo pesa bora ukalewe tu
Hapana hao sportybet ukidownload mkeka ndo wanaweka hivyoNd
Ndio u bet sh 100!
goal watatoa?Tangu mechi ya Taifa Mazembe walisema watawaachia MC washinde ili Yanga asisonge mbele, sasa tusubiri muda wa mechi ufike
Heeeh waliongea wapi haya mbona sjaonaπ€―Tangu mechi ya Taifa Mazembe walisema watawaachia MC washinde ili Yanga asisonge mbele, sasa tusubiri muda wa mechi ufike