Frankis
Member
- Mar 16, 2022
- 24
- 39
😂😂😂😂🤝Nabet kuwa Huna million moja hapo ulipo nashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂🤝Nabet kuwa Huna million moja hapo ulipo nashinda
🤣🤣🤣🤣Aviator sio kabisa yani ndege inavopigwa bomu na moyo unapasukaga Paaah💔
Kwahiyo ukistake 500 ukidownload wataandika 5?Sportybet ukidownload mkeka wanaweka hivyo mkuu.. kajaribu
Tena usiombe usubiri kindege kipande useme labda ikifika odds 50 natoka halafu inapasukia kwenye arobain na kitu. Ata kama ni 2000 umeweka unaanza ninge ninge😂😂🤣
Ngoja tuoneMazembe anaaga Mashindano leo
Dakika 90 zitaamuaUmeliwa, Mazembe hawezi kutoboa kwa waarabu wanaosaka kufuzu! Tena ugenini
Rubani wa mchongo sana 😃Sa rubani si angesema tu kama hataki kupaisha ndege
Ndio u bet sh 100!😁😁😁 hapana ukijua na kujitengea kiwango sahihi.
🙏Asante mkuuHongera mkuu, unatoboa
Starehe yangu moshi mimi 1000 tu kwa siku inantosha🤝Hiyo pesa bora ukalewe tu
Hapana hao sportybet ukidownload mkeka ndo wanaweka hivyoNd
Ndio u bet sh 100!
goal watatoa?Tangu mechi ya Taifa Mazembe walisema watawaachia MC washinde ili Yanga asisonge mbele, sasa tusubiri muda wa mechi ufike
Heeeh waliongea wapi haya mbona sjaona🤯Tangu mechi ya Taifa Mazembe walisema watawaachia MC washinde ili Yanga asisonge mbele, sasa tusubiri muda wa mechi ufike