Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

wacha nicheze hapo , nkikosa najua kweli bahati haipo upande wangu sio kuchaniwa na odd ya 1.01 Yani Haina uhalisia kabisa πŸ€’ Yani odd yenye probability 99% inachana kirahisi
 
Naona sport bety wametoa bet builder nadhani wamepigwa sana.

Nani anipe odd 5
flashsave nayo walishaitoa kitambo. mimi kwangu waliniwekea siku mbili tatu, baada ya hapo wakaiondoa kwangu. kwa wengine nikawa naiona bado inaendelea kuwepo.

nafikiri watakuwa wameshaiondoa kwa wateja wote
 
Wee jamaa kila muda na slip zako za mchongo kwa mtu asiye kujua atajua wewe ni bonge la Donn ujue.
Mkuu wewe unanijua? Kama unanijua hongera sana mkuu. Sidhani kuna mtu yeyote anayenijua mimi hapa. Pia mkuu kama unaumia mimi kupost mikeka humu na wewe basi jaribu kupost mikeka ya mchongo. Jaribu hata mwezi tu.
 
Ser piga kaz
 
Na ku-support chief

Ila ungepost na Mmoja au miwili kupitia Meridian bet , au sport pesa ungetudhiriishia Umma kuwa Ni Active account na sio Demo Account
 
Mkuu Hizo Kampuni Sina Hata Akaunti Kutokana Na Masoko Yao Walivyo Ya weka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…