Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Atakwambia kampuni hizo hazina option anazozitaka

Ila ukweli ni kwamba kampuni hizo hazina ujinga wa DEMO ACC

Mkuu Huu Ni Mkeka Wa Basketball Za China Nimebetia Melbet, Naomba Nenda Sportpesa Na Meridian, Katafute Game Hizo, Na Kama Kuna Masoko Ya Point Za Chini Kama Kwenye Mkeka Huo Hapo Juu, Screenshot Kisha Leta Hapa. Nami Nitakuwa Natumia Kampuni Hizo
 
Wakuu hizi game za Bravo vs Simba , na Al hilal vs Yanga, nipen link leo nataka niziangalizie kwa simu, au kama kuna namna yakuweza kuangalia kwa kustream kutumia simu nipen hayo maujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…