[emoji23][emoji23][emoji23] FIC kuna jamaa alinipa link yao yeye akiwa member nikasema ntajiunga hadi leo nimeipotezeaKaibiwe salama na uwape salamu zangu za kheri hao wajinga wengine utakao kutana nao huko.
Utalia kaka achana naoMsaada wa hapa mbona kma sipati ushirikianoo kwa hili?? Nauliza hawa majaa wa fic ni wana usalama na wako kihalali??
Anaongoza mkuuVipi AC MILAN AMBAYE ANAWEKWA SAIVI
Changamoto sana aiseekuwa sizielewi hizi timu kubwa wakicheza na vitimu vya mkiani tabu tupi yaani vitimu vya kuokotea point ukae pazuri kwenye msimamo eti ndio wanapoteza.. dortmund anatia aibu huko ila siku akicheza na leverkusen au liepzg sisi tutaziona ni mechi ngumu ila mshenzi dortmund atashinda kwa magoli ya kutosha kiulaini kabisa..pumbav zake
Hatari sana mkuuPSV bila kusahau Celtic
Nimeona niwaliwaze kimtindo ila bado napiga pesaa chafu au nilete tena mikeka muone nabii ninavyopiga helaWe si ndio mzee wa correct score 🤣🤣🤣🤣🤣🙌 na ulikua serious mwenyewe unajitetea na kutukana watu Leo imekuaje
Lete mikekaNimeona niwaliwaze kimtindo ila bado napiga pesaa chafu au nilete tena mikeka muone nabii ninavyopiga hela
Kila siku unaposti mikeka zaidi ya sita na unawini mmoja wa odd 2 au 1.8 au usiwin kabisa na unaliwa mitano uliweka Dau la si chini ya laki 3 kama sio utapeli basi we unaweza ukawa hauko sawa unahitaji counselling 😂😂 unawaathiri watu wageni kwenye huu tasnia ya betting waone kubwa betting ni rahisi mbona huyu anaweka dau kubwa kumbe unawadanganya na mademo account yako hayoView attachment 3202448
25 Odds ⚽⚽
Booking Code: CHSLC
ON PARIPESA
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
Furahia Bonus Ya 300,000 Ukitumia Promo Code TIPS2424 Wakati Unajiunga.
E09D03 Sportbety. Leo twende kiivyo naona ya jana haikua riziki liver peke ake kachana kwenye mechi 10.Shusheni code tugawane maumivu