kuwa sizielewi hizi timu kubwa wakicheza na vitimu vya mkiani tabu tupi yaani vitimu vya kuokotea point ukae pazuri kwenye msimamo eti ndio wanapoteza.. dortmund anatia aibu huko ila siku akicheza na leverkusen au liepzg sisi tutaziona ni mechi ngumu ila mshenzi dortmund atashinda kwa magoli ya kutosha kiulaini kabisa..pumbav zake