Kama ku mtu alifata tayari WON japo mimi nilijitoa mhanga zaidi nilisubiri zifike odds 2.65 ndio nikawekaHii game nipo naiangalia sasa wamekosa magoli sana 1HALF, kwa ambaye siyo mwoga goli 2 zipo hapo.
Mimi nasubiri odds zifike 2.5 nijilipue.View attachment 3204327
Ipo wapi
Kampuni gani niwekeze?
Clean sheet ni timu kumaliza mechi pasipo kuruhusu goli hata mojaclean shit away team NO inamaana gani wazee ?View attachment 3204602
Jana slip yangu hadi dakika ya 70 Man U alikua anaelekea kuirarua nikajikatia tamaa nikalala
Naamka asubuhi nakuta acc IMENONA 😂
mmh....siyo kweli ☝☝Clean sheet ni timu kumaliza mechi pasipo kuruhusu goli hata moja
Sasa wewe ulivyobetia ni kuwa hiyo timu ya away isiruhusu goli.
Ila imeruhusu kwa kufungwa goli moja
Mayuclean shit away team NO inamaana gani wazee ?View attachment 3204602
Timu ya ugenini isifungwe goli mojaclean shit away team NO inamaana gani wazee ?View attachment 3204602
i losted a huge money due to small mistakes........fu***kkkTimu ya ugenini isifungwe goli moja
ngoja kesho nikaongee na mkuu wa shule cuz niliweka ada yote kmmk... akikataa dogo anarudi st kayumba 😪😪😪Clean sheet ni timu kumaliza mechi pasipo kuruhusu goli hata moja
Sasa wewe ulivyobetia ni kuwa hiyo timu ya away isiruhusu goli.
Ila imeruhusu kwa kufungwa goli moja
Hapo lugha imekuponza mkuu. Ungekuwa umeweka yes ungepata maana ni kweli away team imetoa clean sheet. (haijaruhusu goli).clean shit away team NO inamaana gani wazee ?View attachment 3204602
Ni kweli. Option za mikeka zimekaa kwa lugha fupi ndio maana hujaelewa ila huo ndio ukweli.mmh....siyo kweli ☝☝