Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Aisee nimeokota code ina odds 157 kwa wanigeria nikaweka 250 tu aiseeee kiutani mkeka unakaribia kutiki aiseee ningetia hata buku mie
 

Attachments

  • Screenshot_20250119_224508_SportyBet.jpg
    153.9 KB · Views: 25
Nilikuwa naangalia hapa live chart za mechi sportberty hawa wanaijeria wanachekesha Yan mechi iko live mechi ya inter anaongoza goli moja wanavyoomba goli la pili litokee πŸ˜‚πŸ˜‚ home one goal abeg oooo, Another goal please oohh Lord πŸ˜‚ mara Why always me God please save me πŸ˜‚ ***** hii betting inaweza kukupa kichaa! Inter alipofunga goli la pili nasoma comments Zao wanacheka tu na Thanks Lord nyingi, wengine Won zinamiminika tu! Yan betting sio rahisi hata umle kanji Yan unamla ila jasho la matako linakuwa lishakutoka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanaijeria na Afrika Magharibi wanzingua. Wanamhusisha MUNGU kwenye kamari. Hii tabia inanikera sana.
 

PAYMENTS SETTLED βœ…βœ…βœ…βœ…πŸ†πŸ†πŸ†πŸ†

657K BOOOOMMMM βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…βœ…πŸ”₯πŸ”₯πŸ’°πŸ’°βœ…βœ…

Jisajili PariPesa Kwa Games Za Leo. Jisajili Hapa πŸ‘‡

https://cutt.ly/hwKXFbXz

https://cutt.ly/hwKXFbXz

Promo Code: TIPS2424
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate Bonus Ya Asilimia 300,000.
 
Aisee usiku wa Jana nilipata kidonda ambacho hakitapona milele nimecashout laki na 80 baada ya kuona timu yangu niliyoibetia imefungwa aisee baadae jamaa wakarudisha na timu nyingine ailizobako zote zimeshinda nilikua nishinde milion 12 aisee naombeni kampuni ambayo haina cashout wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…