Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

uko vizuri mkuu
Mkuu leo nilikuwa na bahati ila kuna roho ya uoga imeniponza.
Kuna mkeka huu hapa ulikuwa na odds 13 nilibeti kwa buku kwa kujua huu utaliwa tu. Wakati natoka nikabet tena kwa quick bet kwa bahati mbaya kwa dau la 15,000 kama linavyoonekana hapo.

Nikafikiria kwa kina niuache tu au ni-sell maana bei ilikuwa 11,250 na mechi hazijaanza yaani tayari nishakula hasara.
Nikaogopa nikau-sell. Lakini matokeo yake umewin, nimesikitika sana. kwa hiyo nimeambulia 13,000 tu ka mkeka niiobeti kwa buku wakati huu ilikuwa inakuja 190,000+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…