Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Msaada wakuu nataka kurudi premier bet nimesahau jinsi ya kudeposit natumia tigo pesa
 
Double chance
Bayern Munich 12
PSV Jong 12
Dinamo bus 12
Rander 12
NAC 12
Cork city 12
Dundatalk 12
 
View attachment 388249
mkuu sidhani kama upo sahihi,mfano hii metch uwezekano wa kupatikana goli 2 kipindi cha kwanza ni mkubwa na pia uwezekano wa yyt kushinda nao ni mkubwa



Hiyo option maana yake timu ya ugenini ishinde first half na kuwe na magoli ma2 na kuendelea . i.e. matokeo ya Half Time yawe 0-2, 1-2, 0-3 etc
 
Nimetoka hivi leo kutafuta mtaji wa kesho.
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-26-18-39-06.png
    35.5 KB · Views: 52
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…