Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Nimecheza Nara 2
1) double chance ashinde yeyote.. odds25
2)2+ ...odds35
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-26-21-17-29.png
    46.6 KB · Views: 40

Nyie Nimes - Amiens jieshimuni ... leo sio siku yenu ya kutafuta sifa nimewapa Under 3.5 goals msinipe tabu ya kubinyaa ... mxiuuuuuuuuuuuuuuu
 
wakuu aliyefanikiwa kubet kwa meridian leo anambie ametumia strategy gani maana mimi nimekuwa nikijaribu tangu saa 12 hadi sasa bila mafanikio.
 
Nyie Nimes - Amiens jieshimuni ... leo sio siku yenu ya kutafuta sifa nimewapa Under 3.5 goals msinipe tabu ya kubinyaa ... mxiuuuuuuuuuuuuuuu


Hehehehe ... kaazi kwl kwl. HT Nimes 2-1 Amiens ... yani kipindi cha pili lisipatikane goli ... hahahahaha, nimekubali.
 
wakuu aliyefanikiwa kubet kwa meridian leo anambie ametumia strategy gani maana mimi nimekuwa nikijaribu tangu saa 12 hadi sasa bila mafanikio.


Meridianbet ni kizungumkuti bro ... shida sn hao jamaa. Mi kwa sasa nimejikita mkekabet ingawa wanaweka ligi na options chache kinoma,
 
habari wadau iv hyo Bet ya kutimia simu kuna option mbili tu kushinda na suluhu,,? na kama kuna option zaid ya izo mf za ma goal nazipataje kwangu inakuja ivyoo
 
wakuu aliyefanikiwa kubet kwa meridian leo anambie ametumia strategy gani maana mimi nimekuwa nikijaribu tangu saa 12 hadi sasa bila mafanikio.

mkuu leo sever error imeanza kusumbua toka mchana bt nlifanikiwa kutandika mkeka mmoja, sahv pia najaribu naona mizinguo..... jaribu ku log out alafu tengeneza mkeka, weka stake kbsa then log in to place your bet... cjui kama nimesomeka, mimi nimefanya hvyo nmefanikiwa now
 
NAZITUMA KAZI HIZI TIMU 14, Wacheze wachezavyo nahitaji goli 2+ tu kila mechi...

jah bless
 

Attachments

  • bet 2+.png
    9.3 KB · Views: 34
Dinamo Bucharest wanatoka 1-1 kipindi cha kwanza wanashindwa kutupia hata goli moja kipindi cha pili !!! grrrrrrrrrrrrr
 
pamoja sana mkuu.
 
Wakuu naombeni mnisaidie kuhusu hili swala ,
Juzi kati niliapa kuacha kubet lakini nikajisemea wacha leo nijikumbushe kumbushe nikalog in kwenye mbet nikaweka
Espanyol Win
Betis Draw
B.Munich -Win
Marsiele- Win
Nikataka kutuma pesa nikaghairi kwa uoga wa kuliwa 2000
Nakuja kucheki matokeo nakuta Betis 0-0, Marsiele 2-0, B.munich 6-0, Espanyol mpaka sasa mapumziko anaongoza goli 1 bila
Nikajifanya tapeli nikatuma hele ile nalog in kucheki kama imepokelewa nakuta tiketi imeandikwa Imvalid, Je watanirudishia au ndo imekula kwangu?
 
Point 12 hizo hapo. Yaani nikimkosa tena na hapa nitaamini sina bahati na mikeka. Maana hapa nipo na boxer tuu nimetulia tuliii na mshumaa nachambua zangu timu za kesho, tube light nimezima nimeona inaniletea wenge tuu. Nikimkosa na hapa basi tena. Dau kila mtu ataweka analojua yeye


 
Hahahahaa...nakufuata hapo mkuu, kwa huo ulozi wako Kanjubay lazima akae.
 
Imekula pande yako mkuu.... Vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Dinamo Bucharest wanatoka 1-1 kipindi cha kwanza wanashindwa kutupia hata goli moja kipindi cha pili !!! grrrrrrrrrrrrr
Jana nilicheza yeye single nikaliwa yaani nilimwekea ka ela kangu ka weekend hii bet ukiiwekea hasira inakukazia Leo kuna mechi zaidi ya Mia tano ila unaweza ukaweka single Na ukapigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…