M bet wanarudisha usijali hongera maana ingekuwa imeliwa pia espanyola ka drooWakuu naombeni mnisaidie kuhusu hili swala ,
Juzi kati niliapa kuacha kubet lakini nikajisemea wacha leo nijikumbushe kumbushe nikalog in kwenye mbet nikaweka
Espanyol Win
Betis Draw
B.Munich -Win
Marsiele- Win
Nikataka kutuma pesa nikaghairi kwa uoga wa kuliwa 2000
Nakuja kucheki matokeo nakuta Betis 0-0, Marsiele 2-0, B.munich 6-0, Espanyol mpaka sasa mapumziko anaongoza goli 1 bila
Nikajifanya tapeli nikatuma hele ile nalog in kucheki kama imepokelewa nakuta tiketi imeandikwa Imvalid, Je watanirudishia au ndo imekula kwangu?
ImooooooooooooooooooooooAsubuhi njema hii!!!!!! View attachment 388451
M bet wanarudisha usijali hongera maana ingekuwa imeliwa pia espanyola ka droo
M bet wanarudisha usijali hongera maana ingekuwa imeliwa pia espanyola ka droo
Mkuu duh afadhali ngoja nivute vute subira manake espanyol mjing kweli yaami kachomolewa goli la pili dakika ya 90 dah shikamoo kubetWiki ya tatu sa hv nafanya deposits tu, sijawithdraw hata mara moja, aibuu
Hata humu jukwaani zile bet won sioni kabisa sku hz, tukipange wadau usawa wenyewe huu wa magufuliMkuu duh afadhali ngoja nivute vute subira manake espanyol mjing kweli yaami kachomolewa goli la pili dakika ya 90 dah shikamoo kubet
Mkuu optico afadhali yako wewe mimi tangu nile 23 elfu tarehe 7 sijala tena mpaka leo nakosa mechi 2 au moja tu na nikiweka 2 nakosa moja dah kazi kweli kweli.
Hata humu jukwaani zile bet won sioni kabisa sku hz, tukipange wadau usawa wenyewe huu wa magufuli
noma sana, hela yenyewe ya field magufuli katoa kimagumashi halafu kanjibai kaipiga karibu roboUlichoongea ni sahihi, sijajua kwa sasa tunakosea wapi. Aise siku hizi hasa tangu ligi zianze tunachapwa sana.
nawaza tu
arsenal 1.71
man utd 1.53
chelsea 1.27
lyon 1.79
atletico madrid 1.63
odds 5.42
hazitoi kweli hizi!!!! nkalipuke
Ukiweka katimu kamoja
Unapigwa ukiweka nyingi moja tu ndio yakuumiza
Ukiweka buku unapigwa
Ukiweka milioni unapigwa
Hahaha..leo lazima akae, ila hapo kwa Chelsea bora under 3.5 pia Man U under 2.5.Mawazo mazuri sn haya ... ngoja nitembee na hii nyota leo, maana nimekuwa mdogo km pilitoni. Daaah
Mimi kuna mkuu alishaniambia kuwa unabeti timu nyingi ndo maana unapigwa , nikaweka burnley lose, Watford Los hahaha burnley akanikomesha.Ukiweka katimu kamoja
Unapigwa ukiweka nyingi moja tu ndio yakuumiza
Ukiweka buku unapigwa
Ukiweka milioni unapigwa
Du mkuu una maanisha tangu mwezi july kwenye euro?Afadhali yako mkuu me unaend mwezi wa pili saiv sijawithdraw na deposit tuh