Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mimi binafsi hata uefa huwa sichezi, nimebakiza ligi kuu pekee. Tena ni ligi kuu nane pekee kubwa ulaya, maximum nikipata odds kuanzia 100 hadi mwisho 300 zinanitosha kabisa. Naendelea mkimbiza kanjibai kimyakimya.
 
Vodacom wakutumie sms ya hivi?! Hapo chini inaonekana sender ni Vodacom Tanzania.
Kijana hiyo ni line ya vodacom niliyosajilia akaunti yangu ya BikoSports. Ujumbe haujatoka vodacom, ila umepitia vodacom. Hapo juu hujaona sender wa sms?
 
Kijana hiyo ni line ya vodacom niliyosajilia akaunti yangu ya BikoSports. Ujumbe haujatoka vodacom, ila umepitia vodacom. Hapo juu hujaona sender wa sms?
Wewe kwa simu unauwezo wa kuweka huo weusi ulioficha haya maneno katika ubora huo kwa kutumia simu?
Usitufanye watoto wadogo humu, wewe siyo tapeli/wakala wa tapeli wa kwanza kuja hapa.
 
Wewe kwa simu unauwezo wa kuweka huo weusi ulioficha haya maneno katika ubora huo kwa kutumia simu?
Usitufanye watoto wadogo humu, wewe siyo tapeli/wakala wa tapeli wa kwanza kuja hapa.
Kama hujui kitu omba uelimishwe. Kuna kitu kinaitwa whatsapp web, unahamishia screen ya simu yako kwenye computer na meseji zote unazipata na kuzituma au kuhariri kwenye computer. Tumia 'Correct score' upige pesa za mhindi, odds hadi 80 mechi moja tu

Humu kuna wabobezi wengi, umeshajileta ulikokuwa unataka kupeleka watu. Huko kwenye correct score ili muwatapeli watu.
Nenda facebook ndiko rahisi kupata watu wa kuwatapeli, hapa jf sidhani kama utapata watu.
 
Sihitaji kumshawishi mtu, wala sijapost ili nifuatwe na watu. Nimeshea tu opportunity ili anayeweza kujilipua, afanye hivyo. Kama ulidhani nimepost ili watu wafanye mawasiliano na mimi, basi ulikosea sana, sipo huko kabisa na wala sihitaji kumshauri mtu. By the way, kufanya mawasiliano na mtu usiyemjua ni hatari, tena kwa pande zote mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…