Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna tapeli huko Facebook kapost mkeka una odds 597.00 anawadanganya wajinga , imekuaje odd iwe namba nzima bila desimali Yani odd 597 kamili😂 Yani weka uwekavyo odds lazima zitakuja na desimali
 
Kuna tapeli huko Facebook kapost mkeka una odds 597.00 anawadanganya wajinga , imekuaje odd iwe namba nzima bila desimali Yani odd 597 kamili😂 Yani weka uwekavyo odds lazima zitakuja na desimali
Yaaani muhindi atufanyie roho mbaya abane odds na n.k na Bado pia MATAPELI wanatutafuta hapo hapo 😂

Dunia hii kweli ni uwanja wa fujo
 
Kuna tapeli huko Facebook kapost mkeka una odds 597.00 anawadanganya wajinga , imekuaje odd iwe namba nzima bila desimali Yani odd 597 kamili😂 Yani weka uwekavyo odds lazima zitakuja na desimali
Au labda odd zote kachagua za namba kamili😂 ila kaweka gemu 35 sizani kama odd zinaweza Kuja namba kamili bila desimali
 
Hatari sana
 
Attachments

  • IMG-20250211-WA0016.jpg
    IMG-20250211-WA0016.jpg
    30.9 KB · Views: 5
Wananiboa hao eti Wana fixed😂, mtu una fixed afu unaanza kutafuta wateja badala aweke Figo plus nyumba hapo😂
Ni mafala sana! Una fixed Tena yenye uhakikaaa si ukakope bank ili utusue!

Why are selling hizo fixed fixture? Ni watu wakupigwa hao ni matapeli
 
Hatari sana
Mimi Jana nilitaka kumfata na goli mbili kipindi Cha pili!

Ila nikawa nakosa amani kabisa, yaani nipoteza Raha nikawa na hofu

Maana nilitaka ku stake hela yangu ya kibubu yoteee!

Nikaachaaa ... Ningekuwa nalia Sasa hivi😂
 
Leo pesa ipo maafisa wala msiwe na wasi tulieni maana mechi ni saa nne huko! Ila Man city ni mbovu sana tena anacheza na timu yenye nyota ya makombe ya uefa real Madrid! Yan usiogope Mpe Madrid win halaf kaa subiri kibunda! Na pia Juve baada ya kumsajili kolo muani naona anakiwasha sana na mechi ya leo ukiona kikosi kolo muani yupo basi mpe Juve mazima! Mashujaa akiwa pale Tanganyika kigoma ni ngumu kufungwa hivyo mpe win or draw! Mechi ya Kagera na tabora wote huwa wanafunguka na kushambulia hivyo ipe magoli mawili over 1.5 halaf tulia! Mechi ya simba na wajela jela iache huwa ni ngumu na ina odd ndogo
 
Psg hachek na wowote mpe win mazima anacheza na timu wanayotoka nayo ligi moja hivyo ushindi kwakwe sio kazi ngumu! Al ahly mpe win mazima yupo nyumbani akikuchania hyo ni bahati mbaya tu ila ushindi kwake ni muhimu! TNS mbabe wa pale ligi ya Wales kutoa magoli matatu sio ajabu kwake ila kwa kujilinda ipe mechi nzima itoe magoli mawili! Din Zagreb mpe mazima anacheza kuna cup leo huko kwao baada ya kutoa uefa sasa hana cha ziada zaidi ya kutaka kufanikiwa kuchukua cup hao na kukomalia kushinda kombe la ligi yao! Zamalek anacheza leo na pharco! Huyo pharco akiwa home pale ni ngumu kufungwa Yan zamalek kushinda leo ni ngumu labda abajatishe! Mpe pharco win or draw odd nying anazo na naona ni za bure kabisa kuliko kuchukua zamalek win or draw na wakat uwezekano wa kupigwa kwake ni mkubwa
 
Back
Top Bottom