Jajejijoju
JF-Expert Member
- May 1, 2022
- 447
- 598
Aisee kuna hii thread naona inatuchafua maafisa ubashiri, sababu za jamaa kuleft group zaweza kuwa nyingi.Kijana ajinyonga baada ya kuliwa kwenye kamari
Kijana Baraka Isaya Kapange (23), dereva bajaji mkazi wa mtaa wa Nkuyu Jijini Mbeya amejinyonga jana Februari 9, 2025, ndani kwake baada ya kuliwa pesa kiasi cha shilingi elfu 60 katika mchezo wa kamari na kuacha ujumbe mzito wa kuomba radhi kwa familia, mama yake, mke na mtoto wake. Chanzo...www.jamiiforums.com
Ila naona muandishi kaamua singizia ubashiri.