Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 3233178
Booking Code: AURUZ
Tumia Promo Code TIPS2424 Upate 300,000 Ukijisajili Na Kudeposit Leo.
Jisajili PariPesa Hapa 👇
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code: TIPS2424
View attachment 3233504
Booking Code >>> EA329
Tumia Promo Code TIPS2424 Kujisajili Upate 200000 Bure Baada Ya Kudeposit .
Jisajili Melbet Hapa 👇
https://mlbt.cc/40coprj
https://mlbt.cc/40coprj
Promo Code👉 TIPS2424
Deposit Upate Bonus Ya 200000.
Mzabzab chukua hizi5A94VU Sportybet odds 3
Miw aioni hizo code wee nipe majina ya timuMzabzab chukua hizi
Miw aioni hizo code wee nipe majina ya timu
Huu utabiri wa jana umetiki nilete tena wa leo au niache kiherehere 😂Leo pesa ipo maafisa wala msiwe na wasi tulieni maana mechi ni saa nne huko! Ila Man city ni mbovu sana tena anacheza na timu yenye nyota ya makombe ya uefa real Madrid! Yan usiogope Mpe Madrid win halaf kaa subiri kibunda! Na pia Juve baada ya kumsajili kolo muani naona anakiwasha sana na mechi ya leo ukiona kikosi kolo muani yupo basi mpe Juve mazima! Mashujaa akiwa pale Tanganyika kigoma ni ngumu kufungwa hivyo mpe win or draw! Mechi ya Kagera na tabora wote huwa wanafunguka na kushambulia hivyo ipe magoli mawili over 1.5 halaf tulia! Mechi ya simba na wajela jela iache huwa ni ngumu na ina odd ndogo
Pale England Championship tunakutana na kibonde Plymouth aliemkamia liver kwenye Fa na akampiga liver moja! Baada ya Kocha wao Wayne Rooney kufukuzwa naona kocha aliekuja hapo plymouth anajitafuta na kutokana na nguvu kubwa aliyotumia kwenye mechi ya Fa na Liverpool japo alishinda haimtoi kwenye nafasi ya ukibonge na timu mbaya na leo anakutana na Milwall ambao wao wapo kwenye form nzuri hivyo Milwall hapo mpe Win kabisa halafu tulia! Halafu kuna Bunley naona anakomaa sana ili arudi ligi kuu ya England sio mzuri sana wa kufunga hivyo mechi yake sio ya magoli sana! Anakutana na Hull city hivyo mpe Bunley win or draw maana hakawii kutoa 0-0 ila kufungwa nyumban Hilo ni ngumu! Tunakuja ligi ya mabingwa Uefa tunakutana na Atlanta anacheza na Club Blugge! Kimchezaj mmoja mmoja Atlanta yuko vizuri na kumbuka ndio bingwa wa Europa mwaka jana kwa kumpiga Leverkusen 3 bila! Leo kwenye mtoano hawezi kupigwa na club brugge ila kutoa dro inawezekana! Mpe Atlanta win or draw maana ni timu kali sio sawa na Club brugge! Bayern na Celtic hapo mpe Bayern atoe magoli mawili pekee yake maana kwa ufungaji yuko vizuri! Na benfica na Monaco ipe magoli mawili mechi nzima maana ushindi hapo anaweza kushinda yoyote! Halafu tulia usiongoze mechi hapo umetosha kabisa kanji hana huruma na pesa yako