makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Mbona cash out inasoma kubwa haya game nyingine hazijaanza? Au Mimi ndo sielewi kiblaziliMnajua kubeti eeeh ona mbrasil huyo View attachment 3234692
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona cash out inasoma kubwa haya game nyingine hazijaanza? Au Mimi ndo sielewi kiblaziliMnajua kubeti eeeh ona mbrasil huyo View attachment 3234692
Hii Ngoma inatoa kama vipi aiseeNimezichakachua mkuu nimepata Odds 2.5
Naweka 10,000 ikitoa nakupa 5,000 ununue vocha.View attachment 3234609
Hapo ni 50 kwa 50 mkuu!Hii Ngoma inatoa kama vipi aisee
Kuna game zilishachezaMbona cash out inasoma kubwa haya game nyingine hazijaanza? Au Mimi ndo sielewi kiblazili
Kuna game zilishachezaMbona cash out inasoma kubwa haya game nyingine hazijaanza? Au Mimi ndo sielewi kiblazili
Huelewi ndio kuna timu ziloshachezaMbona cash out inasoma kubwa haya game nyingine hazijaanza? Au Mimi ndo sielewi kiblazili
Wewe kata tamaa tu, sababu kila siku unasema Leo siku mbayaLeo siku mbaya kazini ila hatukati tamaa
dahHuu mkeka niliweka 6600 na ilikuwa inakuja 24,000.
Dakika ya 92 ya 92 mhindi akasema anipe 21,000 tumalize biashara nikasema nakomaa na wewe mpaka mwisho.
Nakuja kuangalia kuwasha simu ndio kama mlivyosikia kwa maajabu ya Liverpool.View attachment 3234771
The house always winLeo mhindi anapita na mikeka mingi