Jajejijoju
JF-Expert Member
- May 1, 2022
- 447
- 598
Poleni kwa mliompa Yanga ashinde, binafsi huwa sichezi mechi za ligi za Afrika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo mechi unazobetia nje ya Afrika huwa unapatia?Poleni kwa mliompa Yanga ashinde, binafsi huwa sichezi mechi za ligi za Afrika.
Binafsi sina ujasiri wa kuacha cash out ya Sh 640k dhidi ya game nne zilizobaki..... labda kama stake ni 600kmkuu ndo naamka apa nakuta kapita na treni langu wakati cashout ilikua ishafika 646,000/= na mechi zilikua zinabakia 4 tu baada ya weekend kuisha.
nimeamini timu za italia zote zinacheza kamari, zamanii nilijua ni Milan pekee kumbe nilikua najidanganya
stake 1000 mkuu, pia cashout kwangu ni mwiko no matter the circumstanceBinafsi sina ujasiri wa kuacha cash out ya Sh 640k dhidi ya game nne zilizobaki..... labda kama stake ni 600k
Sina hamu mkuu Leo sijui ntarudije nyumbani mke wangu ataniua.. maana nimebetia hela iliyokua kwenye bajetiPoleni kwa mliompa Yanga ashinde, binafsi huwa sichezi mechi za ligi za Afrika.
Duh! Pole sana, huu mchezo unakupitisha kwenye tanuru la moto kwanza then ndiyo unakuwa mkomavu. utafikia hatua unastick kwenye bajeti, mechi na selections ulizozipanga kabla no matter what.Sina hamu mkuu Leo sijui ntarudije nyumbani mke wangu ataniua.. maana nimebetia hela iliyokua kwenye bajeti
Daah sio poaMwenzenu kajinyonga huko mbeya kisa kamali
Kamali au kamari makazi yake jahanam by ustadhi nassoro aka jitu bandia, anyway humu hatuchezi kamali/riMwenzenu kajinyonga huko mbeya kisa kamali
Asante, kaondoka na laki yanguPoleni kwa mliompa Yanga ashinde, binafsi huwa sichezi mechi za ligi za Afrika.
Kupata vichekesho kama hivi tuma ujumbe "UCHESHI" kwenda namba 15509Sihitaji kumshawishi mtu, wala sijapost ili nifuatwe na watu. Nimeshea tu opportunity ili anayeweza kujilipua, afanye hivyo. Kama ulidhani nimepost ili watu wafanye mawasiliano na mimi, basi ulikosea sana, sipo huko kabisa na wala sihitaji kumshauri mtu. By the way, kufanya mawasiliano na mtu usiyemjua ni hatari, tena kwa pande zote mbili
Tupe mkuuNna long shot mwezi huu wapili wote niwape code?
db-bet.co