Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

asenali wameramba dume kumpata we-ri-baki eeh?

kumbe mchezaji anaweza kuwa mzuri ila timu au kocha aliyepo tu ndio sheeeda!

ningekuwa mimi wenger hata Luiz nani ningemchukua....
 
wakuu huku bet356.com kwenye live betting kuna pesa za bureee, nimeshakula dollar 100 kwa gemu ya england na switzerland , option ninayocheza ni corners tu

nimedeposit 100$ nimecheza over ya mara tatu kila moja odds za 1.36 , 1.33, 1.35

huko bet365 nadhan yeye ndo anaongoza kwa odds nzuri kuliko makampuni mengine yote katika live betting....utakuta dakika ya ishirini odds za over 0.5 goals zinakaribia 1.30
 
meno yote nje...hongera
 
Biohazard unatumia bet gani ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Natumia meridian, before nilikua natumia bet365 ila forex ikawa inanizingua nikaona chai, yani ukipigwa $50 inauma kuliko laki 1 ya bongo.
 
huko bet365 nadhan yeye ndo anaongoza kwa odds nzuri kuliko makampuni mengine yote katika live betting....utakuta dakika ya ishirini odds za over 0.5 goals zinakaribia 1.30
easy to use na inaongoza kwa betting options nyingi sana
 
Ok ngoja nijisajili meridian na mimi umenishawishi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Ok ngoja nijisajili meridian na mimi umenishawishi

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums

Unajua ukishapata faida yako hata kama elfu 50 unajitumia kwa MPESA yani haizidi masaa 24 inakua imeingia. Yani faida ya leo ndo inabaki kama mtaji sababu ckutulia nikaliwa yani nilikurupuka.
 
wakuu huku bet356.com kwenye live betting kuna pesa za bureee, nimeshakula dollar 100 kwa gemu ya england na switzerland , option ninayocheza ni corners tu

nimedeposit 100$ nimecheza over ya mara tatu kila moja odds za 1.36 , 1.33, 1.35

Mkuu umeverify vp akaunti yako ya bet365 mana mwenyewe nilishajiunga nao ila tatizo ni kuverify akaunti ndo sijafanikiwa
 
Mkuu umeverify vp akaunti yako ya bet365 mana mwenyewe nilishajiunga nao ila tatizo ni kuverify akaunti ndo sijafanikiwa
kuverify account , unaverify mara 2,

mara ya kwanza wanakutumia code kwa box/sanduku la posta unalog in unaziingiza, yap walinitumia kwa box

mara ya pili unaverify kwa kuweka ur passport number, yap niliweka number za passport kwa account yangu

if not verified utaweza kucheza tu ila hutaweza withdrwal
 
wakuu huku bet356.com kwenye live betting kuna pesa za bureee, nimeshakula dollar 100 kwa gemu ya england na switzerland , option ninayocheza ni corners tu

nimedeposit 100$ nimecheza over ya mara tatu kila moja odds za 1.36 , 1.33, 1.35

Hizo ndo zangu mkuu, mie napiga mpaka fouls ngapi, au mipira ya kurusha mingapi, hahahaha
 
hivi odds za kona na faulo zinakuwaje kuwaje mzee mwenzangu

ofcoz inategemea....ila mara nyingi za kabla ya gemu over/under 9 corners odds zake ni around 1.7 au 1.8...zinacheza maeneo hayo!

ila mtu ukiona kaanza kubet hizi special options ni baada ya kuliwa sana kwny match winners...hahaha
 
hahaha ni kweli simba akizidiwa hata nyasi atakula
 
Mkuu mbona helanyingi na Return ni ndogo sana?

Ki ushahuri hiyo Bett hailipi na haishhuriwi kucheza kwani Risk yake ni kubwa sana.
 
Wataalam wa mambo mnjuze hili .wiki nzIMA NAJITAHID KUlinganisha ipi kampun bora na nzur kwa afya kat ya iplay&csn na meridian .naomba mnambie ip ipo vzur
 
Jaman mathematician odd ikiwa na decmal mfn 0.95 hata ukizidisha na milion mia lazma ipungue kwann hawa iplay wanaweka hz odd za mapointpoint? Bora iwe 1.12 ukweka milion unapata lak moja na 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…