Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Naona muhindi akipita humu anachukia mbaya. Maana hii tekniki ya mechi moja uweke dau refu inakula kwake sana.
 
mimi ni shabiki wa England na Man u, nawashauri hii mechi ya england leo msiipe dhamana sana..
 
Naona muhindi akipita humu anachukia mbaya. Maana hii tekniki ya mechi moja uweke dau refu inakula kwake sana.

Huo ndo mwendo wetu twapiga mechi moja moja ila yenye uhakika na kuweka pesa kubwa
 
Australia, sweden,england, ukraine ukiweka 2000 unapata 55000. Za chap chap wale wanao jilipua piga hapo hata laki afu ulale kesho ukiamka unakuta 2.7milion za upesiii najua utakenua meno humu kesho.
 
Jamani eeeh nishaurini nimebakiza 50000 free bet money baada ya faida na kuondoa mtaji nimeona hiyo 50000 niwekeze tena. Nipeni timu moja tu nimalize kazi mie matokeo kesho asbh sitaki lala na presha
 
Jamani eeeh nishaurini nimebakiza 50000 free bet money baada ya faida na kuondoa mtaji nimeona hiyo 50000 niwekeze tena. Nipeni timu moja tu nimalize kazi mie matokeo kesho asbh sitaki lala na presha

weka Double chance England....
 
Jamani eeeh nishaurini nimebakiza 50000 free bet money baada ya faida na kuondoa mtaji nimeona hiyo 50000 niwekeze tena. Nipeni timu moja tu nimalize kazi mie matokeo kesho asbh sitaki lala na presha

weka GG game ya england na serbia... Take it from me
 
Jamani eeeh nishaurini nimebakiza 50000 free bet money baada ya faida na kuondoa mtaji nimeona hiyo 50000 niwekeze tena. Nipeni timu moja tu nimalize kazi mie matokeo kesho asbh sitaki lala na presha

Nimepigwa laki 1 leo, nimefunga biashara mpaka kesho tena.
 
Kuna timu Hapa nimeiwekea pesa kwa kutumia hiyo formula. Sina amani kabisa.

weka Double chance England....

England bado sijaamua weka manoti ila nahisi atashinda.
Ila naogopa kwani U21 ya switzeland ni wakali

hahahaha nakuombea kaka, utapiga pesa tu, ila mimi bado sana kufanya ivyo, mtaji wangu mdogo sana

Mpe matumaini
Ila mbona wengine tumeweza raise mtaji more than double.
Mimi huwa nazitoa afu nikitaka bet naenda weka tena

weka GG game ya england na serbia... Take it from me

Yeah nimekuelewa inaonesha kila mtu ana wasi wasi na England sana

Nimepigwa laki 1 leo, nimefunga biashara mpaka kesho tena.

Pole mkuu hata wewe uliwapiga sana jana.
Usikate tamaa endelea wekeza.
Uliipa timu gani mkuuu?
 
Jaman ile formula ya Biohazard naona inatimiza lengo letu la kumuumiza muhindi.
Leo nimeanza na kilo nikagawa 50-50, mikeka miwili tofauti mmoja umekubali nasubiri huo mwingine baadae!
 
Last edited by a moderator:
mechi za Australia na Uruguay mimi ndio nilikuwa wa kwanza kuziwe kahumu jamvini,

duh nimekosa hela mechi ya Australia na Uruguay, wote odd 2, jumla ingekuwa odss 4, nilitaka tupia 200

sasa ningekuwa nachekaa
 
Pole mkuu hata wewe uliwapiga sana jana.
Usikate tamaa endelea wekeza.
Uliipa timu gani mkuuu?

Nimerudisha elfu 77 katika mtaji wa laki 1 sasa ngoja nitafute mkeka mwing Meridian.PNG
 
wakuu huku bet356.com kwenye live betting kuna pesa za bureee, nimeshakula dollar 100 kwa gemu ya england na switzerland , option ninayocheza ni corners tu

nimedeposit 100$ nimecheza over ya mara tatu kila moja odds za 1.36 , 1.33, 1.35
 
Niliwaambia mmpe England mkawa wabishi leo mie nalala vzr sana 120,000 yangu imezaa 320,000. Leo shangweeeeee. Kesho nampa yote japan kitu inafouble hadi kilo 5 hivi.
What a day to me 70000 tu niliyoweka asbh imezaa hadi kufikia 330,000 total nimepoteza 20000 tu siku ya leo
 
Back
Top Bottom