Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mm hua nabet ladbrokes nataka kuanzia leo naweka mtaji wangu wa 100$ then natupia timu moja ninauhakika kwa mwezi sikosi chini ya 1200$ mnaonaje nikiwa daily natupia timu moja kwa 100$ japokua sio sikuzote ntakula
 
mzee mwenzangu upo? Umepotea sana
 
Wale wanaopenda accumulation, hii itawafaa ila atleast uweke elfu 50 ili upate faida kama 100 aproximately.

Russia - Liechtenstein
Home win 1.05
San Marino - Lithuania
Away win 1.16
Montenegro - Moldova
Home win 1.52
Luxembourg - Belarus
Away win 1.55
Spain - FYR Macedonia
Home win 1.04
Total odds / 5 matches
2.98
 
Uruguay jamani tuekeni hayo malaki

Kuna utata hapo kati ya England na Uruguay kuna mmoja atashinda na mwngine ataharibu believe me. Sasa hapa ni kufanya akili hiyo laki iende wapi bado napiga ramli hapa.

Sababu leo hata magoli naona hayaendi yani cku ni mbaya hatari.
 
LEO ZA UHAKIKA

BK-46 VS Klubi 04 ......... 1WN
Dundalk VS Derry City ...... 1WN
 
Niliwaambia mpeni Uruguay mkakataa mie nishakula 115000
 
Kuna utata hapo kati ya England na Uruguay kuna mmoja atashinda na mwngine ataharibu believe me. Sasa hapa ni kufanya akili hiyo laki iende wapi bado napiga ramli hapa.

Sababu leo hata magoli naona hayaendi yani cku ni mbaya hatari.

Mkuuu nishaingiza mie nimefungua siku dau langu limezaaa tayari faida 55000 hadi sasa.
Usiku nampa England hii faida akishinda napata faida ya 95000 jumla faida ya leo pekee ni 150,000
 
Au nampa England 125000 napata faida ya 267500 kwa siku nzima kwani dau langu nililoanzia siku ni 70000 imezaa 125000.
Nikipiga hiyo 267500. Hiyo ni business nzuri sana
 
Sweden, dundalk,austria,england, ukraine. Hapa ukiweka 5000 unakula zaidi ya laki mbili na usheeee
 
Mkuuu nishaingiza mie nimefungua siku dau langu limezaaa tayari faida 55000 hadi sasa.
Usiku nampa England hii faida akishinda napata faida ya 95000 jumla faida ya leo pekee ni 150,000

mkuu wa mipango Andybird huwa nakukubali sana huwa hukati tamaa
 
Mkuuu nishaingiza mie nimefungua siku dau langu limezaaa tayari faida 55000 hadi sasa.
Usiku nampa England hii faida akishinda napata faida ya 95000 jumla faida ya leo pekee ni 150,000

something is better than nothing my dude, tuko hapa ili kuwapiga mafisadi, iyo hela kwa leo inatosha sana, kaa kua mtazamaji, please....
 
Wale wanaopenda accumulation, hii itawafaa ila atleast uweke elfu 50 ili upate faida kama 100 aproximately.

Russia - Liechtenstein
Home win 1.05
San Marino - Lithuania
Away win 1.16
Montenegro - Moldova
Home win 1.52
Luxembourg - Belarus
Away win 1.55
Spain - FYR Macedonia
Home win 1.04
Total odds / 5 matches
2.98

yani gemu 5 odds jumla 2, sasa una accumulate for what?

bora uwaweke montenegro na belarus tu inatosha wote watakupa odd hiyo ya 2, jana spain alikuwa na odd ya 1.05 na alichana mikeka
 
Back
Top Bottom