east36
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,306
- 492
mkuu uliwaua maana wote dk ya 72 na washapigwa
wamefunga kazi dk72 maana yake aliwapa, huyu ronado na arudi tuuu yaani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu uliwaua maana wote dk ya 72 na washapigwa
hahaha sisi si ni gemu accumulators, twataka kula mi-ri-o-ni kwa buku hahahahHuyu jamaa tutamtimua kaja juzi na kaanza piga mahela nikimhesabia faida zake jamaa katusua ile mbaya leo kapata 185000, 65000. Jana kapiga 140000 jamaa kafikisha 500,000 ndani ya siku mbili sisi wengine mara moja kwa mwaka
Huyu jamaa tutamtimua kaja juzi na kaanza piga mahela nikimhesabia faida zake jamaa katusua ile mbaya leo kapata 185000, 65000. Jana kapiga 140000 jamaa kafikisha 500,000 ndani ya siku mbili sisi wengine mara moja kwa mwaka
mkuu uliwaua maana wote dk ya 72 na washapigwa
hahaha sisi si ni gemu accumulators, twataka kula mi-ri-o-ni kwa buku hahahah
wengine atujawahi kabisa 🙁
France nae kaharibu tayari dah hii dunia mbona inaenda upande upande
mkuu vilevile kubet final winner ni ngumu sana, bora kuwekea games possible situations GG/NG , ll> , ll2+, l+ll na kadhalika....Mkuu mie naacha huo mtindo aisee bora nile 185000 faida kwa 100000 kuliko kutegemea 4ml kwa 5000
Ureno naye kapigwa na albania
dahh kubet ni shidaaa hapa live wamefix
Mimi nimeacha bet kisa jina la timu. Chelsea pekee ndo nampa sababu ya jina lake hao wengine hata siku moja sijidanganyi
Usingizi nao umekata, hapa naanza angalia matokeo mengine , imebaki "ayaaaa ningeweka denmark"
Jamani eeeeh England kapewa 2.7 hapa ukimpa laki unapata faida 170000 naamini England anashinda. Biohazard leo tumpe England maana hizi odds zaweza pungua
Mkuu ila england haaminiki. Hakawii kusimamisha shilingi. Nipo najifikiria hapa juu ya kumpa england.