Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Huyu jamaa tutamtimua kaja juzi na kaanza piga mahela nikimhesabia faida zake jamaa katusua ile mbaya leo kapata 185000, 65000. Jana kapiga 140000 jamaa kafikisha 500,000 ndani ya siku mbili sisi wengine mara moja kwa mwaka
 
hahaha sisi si ni gemu accumulators, twataka kula mi-ri-o-ni kwa buku hahahah
 
Huyu jamaa tutamtimua kaja juzi na kaanza piga mahela nikimhesabia faida zake jamaa katusua ile mbaya leo kapata 185000, 65000. Jana kapiga 140000 jamaa kafikisha 500,000 ndani ya siku mbili sisi wengine mara moja kwa mwaka

wengine atujawahi kabisa 🙁
 
France nae kaharibu tayari dah hii dunia mbona inaenda upande upande
 
Ureno naye kapigwa na albania

dahh kubet ni shidaaa hapa live wamefix

jana nigeria alivyopigwa 1 - 3 na congo brazaville tena nyumbani kwake nikachokaaa,

nigeria walikuwa na odd ya 1.21 na congo brazzaville odd ya 10 ,
 
Mimi nimeacha bet kisa jina la timu. Chelsea pekee ndo nampa sababu ya jina lake hao wengine hata siku moja sijidanganyi
 
Hahaahahaahaaaahaha.

Dah, ila jamani tuache utani. Hii kazi ya kubashiri tunayoifanya ni kazi ngumu sana. Na ugumu unakuwa maradufu pesa inapojumuishwa katika ubashiri huo.

Nimekaa nikatafakari , nikaona nikaona ni kama vile tunafanya uchawi. Yaani kubashiri tukio linalokuja kutokea masaa mchache yajayo si mchezo. Kuna wengine huwa wanatandika mkeka wa mwezi mzima. Yeye kazi yake inakuwa kutia pata tuu.

Acha mmiliki wa Bet 365 awe bilionea.
 
Kuanzia kesho.ntarudi kwa my best pattern
Timu 1 ya uhakika kila siku mpaka jpili, potelea mbali hata nikitengeneza 50.000 kwa wiki kuliko kupoteza mtaji
 
Usingizi nao umekata, hapa naanza angalia matokeo mengine , imebaki "ayaaaa ningeweka denmark"
 
Usingizi nao umekata, hapa naanza angalia matokeo mengine , imebaki "ayaaaa ningeweka denmark"

Denmark na Germany niliwapa 1&3+ ods zikaja 2.4 , 2.3 respectively , wametiki ila wajinga wengine wamechaaana,
 
Jamani eeeeh England kapewa 2.7 hapa ukimpa laki unapata faida 170000 naamini England anashinda. Biohazard leo tumpe England maana hizi odds zaweza pungua
 
Last edited by a moderator:
Jamani eeeeh England kapewa 2.7 hapa ukimpa laki unapata faida 170000 naamini England anashinda. Biohazard leo tumpe England maana hizi odds zaweza pungua

Mkuu ila england haaminiki. Hakawii kusimamisha shilingi. Nipo najifikiria hapa juu ya kumpa england.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom