mkuu kuna watu walibet draw ambao bado watazidi kuwepo mjini.84min Tottenham 1 - 1 Liverpool
Sasa Hapa ni noma kanjibah anataka kuturudisha kijijini😡😡😡
[emoji23] [emoji23]Dogo nikushauri kitu, kama unatumia hela ya ada kucheza usicheze buku buku, hapo zote zitaisha.
Fanya hivi , mzee akikupa hela ya ada au Magufuli akikupatia hela ya Field nyanyua mzigo wote kama ulivyo chukua timu mbili inplay zipe Over 0.5 yaani omba lipatikani walau goli moja tu. kama mchezo umeshaanza pointi zake huwa ni 1.27X1.27 = 1.61 weka ada yote labuda tuseme laki tano, 500,000X1.61 = 80500X0.82 = 660,100. hapo umeshalipa kodi yao.
Chukua ada kalipe shuleni hlafu hiyo laki moja na nusu endelea kubeti muda wote wa Field au shule.
NB: hakikisha unakunywa dawa za usingizi na usiamke mpaka utakapopewa matokeo na rafiki yako.
USIJARIBU KAMA HUNA PLAN B
[emoji23] [emoji23]View attachment 388581Huu mwaka huu [emoji15][emoji15]
Nawakubali sana mkeka bet.......Kwa sasa watu wengi wanao bet online wameachana na meridian kutokana na usumbufu wao mambo yapo Mkekabet hakuna usumbufu kwenye kutoa hela Jr
Nawakubali sana mkeka bet.......
Maombi ya betting kila MTU anamaombi Yake nimekaa Na jamaa kwenye game ya liver yeye kabet draw Mimi nilimpa liver ashinde jamaa Wa pembeni yangu kampa Tottenham Hotspur ashinde sasa kila MTU anasali mechi imeisha jamaa akasema asante Mungu huku Mimi namtukana liver jamaa mwingine anamtukana Tottenham dah nimeliwa ila nimecheka sana kila MTU alikuwa anamaombi Yake
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23]
Cku akifanya ivo azime simu hadi asbh
Hull City - Manchester Utd
2 / 1
60.41
Newcastle United - Brighton & Hove Albion FC
Newcastle United WIN
2.36
Total Odds = 142.57
Halftime/Fulltime resultsHii 2/1 ndo inamaanisha nn mkuu
Hii niligwara84min Tottenham 1 - 1 Liverpool
Sasa Hapa ni noma kanjibah anataka kuturudisha kijijini😡😡😡
ball possession inawapa ushindi shida idadi ya magoli.Lyon !!??...... Acha tu....