daaah ... nlimiss sms za namna hii wiki na kitu ss, [emoji16][emoji16]
Mjombaaa naangalia mechi ....wamekosea goli za one to one kama 4 ..... Na nyingine nyingi sana.... Nkajua tu atapigwaball possession inawapa ushindi shida idadi ya magoli.
dah,Mjombaaa naangalia mechi ....wamekosea goli za one to one kama 4 ..... Na nyingine nyingi sana.... Nkajua tu atapigwa
Hahaha...sina hamu, kamkeka kalikokua kamebakia nako kapita nako.dah,
kaukaba koo mpaka kauua kamkeka kalikobaki.
BOMU la Man U leo litaondoka na kijiji kizima.Man United huyu mmmmmmh haya bana
Imenigomea Mimi .... Tangu mechi ya lyon ...nlikua naangalia upuuuzi wao nkataka kumuua online ikagoma kufungua .... Mpaka sawa...premier hakuna saliowakuu, sasa hv meridian haifunguki kabisa. nani mwingine kapata tatizo kama hili? kanjibai katia mpira kwapani au?
View attachment 388838
Hii mechi ikiisha hivi benki zinaweza kukosa pesa za kumlipa Kanji. Maana goli zimegoma, win zimegoma, kona zimegoma lkn attempt zipo 20 bila goli hapo ndio inplay hela inapoliwaBOMU la Man U leo litaondoka na kijiji kizima.