Mkuu kuna option zipo meridian premier hakuna ...kuna zingine zipo premier meridian hakuna... Mostly natumiaga premier... Meridian kuna kapesa tu nilikaaacha just in case nakacheza .... Sasa Leo nimepigwa mapema na lyon.... Na nipo kwenye harusi ya mwana afu ni mwanakamati nkaona aaaaah ya nini kwenda kuweka premier ngoja niicheze ya meridian.... Daaaah ....yaaani hapa marudisha hasara kwenye vinywaji ..... Nipo kamati ya tungi narudisha hasara .......NINASHANGAZWA NA WANAO ENDELEA KUING'ANG'ANIA MERIDIANI SIJUI KANJUBAH KAWALISHA TENDE NA HALUA ZA WAPI NINYI?
WAKATI KUNA KAMPUNI KAMA
premierbet
supabet
ambazo ki msingi zina option kibao pendine zaidi hata ya meridian.
ukija ktk swala la kutoa pesa na kudeposit hapa
mkeka bet nadhani anaongoza sasa kila wkend naona wadau mnalialia tu ya nini kukumbatia kampuni isiyo sikia kilio cha wateja?
ni sawa na wale walio kumbatia kampuni moja ya mawasiliano ya simu ambayo kila uchwao ni kupandisha gharama za fifurushi tu wakati
there is a new sherrif in town......
chao.
Mkuu acha tu..... Sichezagi maFARAnsa ...sijui imekuwaje Leo nkamweka lyon....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu hiyo avatar yk imenifuraisha sana japo nimetoka kupigwa za uso na kanji
Mkuu kuna option zipo meridian premier hakuna ...kuna zingine zipo premier meridian hakuna... Mostly natumiaga premier... Meridian kuna kapesa tu nilikaaacha just in case nakacheza .... Sasa Leo nimepigwa mapema na lyon.... Na nipo kwenye harusi ya mwana afu ni mwanakamati nkaona aaaaah ya nini kwenda kuweka premier ngoja niicheze ya meridian.... Daaaah ....yaaani hapa marudisha hasara kwenye vinywaji ..... Nipo kamati ya tungi narudisha hasara .......
Hahahahahaaa...Mkuu kuna option zipo meridian premier hakuna ...kuna zingine zipo premier meridian hakuna... Mostly natumiaga premier... Meridian kuna kapesa tu nilikaaacha just in case nakacheza .... Sasa Leo nimepigwa mapema na lyon.... Na nipo kwenye harusi ya mwana afu ni mwanakamati nkaona aaaaah ya nini kwenda kuweka premier ngoja niicheze ya meridian.... Daaaah ....yaaani hapa marudisha hasara kwenye vinywaji ..... Nipo kamati ya tungi narudisha hasara .......
hahaahha kwanza hongera kwa kuweka avatar inayokaribiana na ya tpaulMkuu kuna option zipo meridian premier hakuna ...kuna zingine zipo premier meridian hakuna... Mostly natumiaga premier... Meridian kuna kapesa tu nilikaaacha just in case nakacheza .... Sasa Leo nimepigwa mapema na lyon.... Na nipo kwenye harusi ya mwana afu ni mwanakamati nkaona aaaaah ya nini kwenda kuweka premier ngoja niicheze ya meridian.... Daaaah ....yaaani hapa marudisha hasara kwenye vinywaji ..... Nipo kamati ya tungi narudisha hasara .......
Hakuna Namna aseee....kilio ni kikali sana..... Nkaona niomdpe tu sura ya furaha.... MTU unajawa na huzuni muda wote kama ninihahaahha kwanza hongera kwa kuweka avatar inayokaribiana na ya tpaul
pili pole kwa manyanyaso anayo tufanyia huyu rangi nyeupe.
tatu nimekuelewa hoja yako kuhusu option
ila mimi nimetia nanga kwa premier kwa sasa mpaka hapo baadae itakapotokea vinginevyo.
rangi yake hainiumizi macho
site sio nzito options kibao n.k
Kwa hisani ya Lyon, kapita na odds 30 hizo...heheMkuu acha tu..... Sichezagi maFARAnsa ...sijui imekuwaje Leo nkamweka lyon....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...sikuwa nimemwelewa unajua nimecheka kwa sauti ka mwendawazimu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ... unafidia kwenye tungi, teh teh teh
mkuu, hebu jaribu kuingia naona kama sasa wako hewani.Mdau nimepigwa za USO ....nataka kurudi kurenew hawafungui kabisa ..... Afu kuna mpunga mrefu tu.... ***** wakirudi tu nautoa umakunduchi wanaleta
wamefunguka sasa mkuu....haya masengerema yanakera sana.Wanakera sn ... mi hawanipati huko saiv. Watupige za uso bado na logistics za kutandika mikeka ziwe ngumu ... eboh !!!
Swindown imeahirishwa
yeah!Swindown imeahirishwa
unasubir sh ngap mkuu ili nifanye booking ya vochayeah!
[emoji28] [emoji28]unasubir sh ngap mkuu ili nifanye booking ya vocha