Huu Uzi una page 20751 unadhani watu hawajawi kujadili kuhusu hiyo njia unayoisemea ya "sure bet" mpaka wanakomaaa na mhindi kawaida.
Kiufupi hiyo njia haiwezekani kwanza kuzipata hizo mechi ni mziki mnene, pili ni makato ya miamala ya simu na benki ukiwa unaweka pesa na mwisho Kila mkeka utakoshinda lazima ukatwe Kodi. Sasa Kuna faida hapo?
Ukisema utumie makampuni ya nje unarusiwa tu lakini kumbuka kuweka pesa huwa ni rahisi sana lakini kuzitoa sahau kabisa na huna wakumlamikia.
Na hizo sure bet huna haja ya kuzitafuta ingia
www.oddspedia.com Kila Siku huwa wanazitupia za kutosha, Ni wewe tu kujaribu sasa.
Hata hivyo unaweza jaribu na ukishindwa wala hauitaji kuleta mrejesho hapa