Alubati
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 6,535
- 14,840
Kwenye vikaratasi kabla ya onlineKumbe 2013 watu tayari walishaanza kubeti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye vikaratasi kabla ya onlineKumbe 2013 watu tayari walishaanza kubeti
Aah kumbe!!!Kwenye vikaratasi kabla ya online
Siongelei Sure bets.Huu Uzi una page 20751 unadhani watu hawajawi kujadili kuhusu hiyo njia unayoisemea ya "sure bet" mpaka wanakomaaa na mhindi kawaida.
Kiufupi hiyo njia haiwezekani kwanza kuzipata hizo mechi ni mziki mnene, pili ni makato ya miamala ya simu na benki ukiwa unaweka pesa na mwisho Kila mkeka utakoshinda lazima ukatwe Kodi. Sasa Kuna faida hapo?
Ukisema utumie makampuni ya nje unarusiwa tu lakini kumbuka kuweka pesa huwa ni rahisi sana lakini kuzitoa sahau kabisa na huna wakumlamikia.
Na hizo sure bet huna haja ya kuzitafuta ingia www.oddspedia.com Kila Siku huwa wanazitupia za kutosha, Ni wewe tu kujaribu sasa.
Hata hivyo unaweza jaribu na ukishindwa wala hauitaji kuleta mrejesho hapa
Loophole kwa mfano inatafutwaga kwenye 3 ways yaani W1, X au W2.Siongelei Sure bets.
Naongelea kama kuna loophole.
Games hizi hazitabiriki kabisa sikuhizi.
Muhim kutafuta a way ambayo stake itarud nusu.
Nimepata moja ndio naifanyia kazi.
So far sio Mbaya.
Pole sana mkuu.Leo ndo leo