Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu hizo ni mbinu za kukuhadaa ujiunge lakini hawakuambii ukweli kwamba bonus hiyo ikoje

Ili uwekewe bonus ya 300k unatakiwa udeposit 300k

Pili ili hiyo bonus ili iwekwe kwenye acc uweze kuitumia inakupaswa ui stake hiyo 300k mara 3 yake na zote ziwin kwa mikeka yenye game tatu na kila game iwe na odd kuanzia 1.7
 
asa kwanini umemwambia dah
 
Daah, ndo basi tena nilishajiunga
 
Mkuu acha tu aniambie ukweli kwa faida ya wengi
mimi namuamini kanji tu...mambo ya kupewa bonus baadae yanakua complicated kwenye kupata hera wakati uliahidiwa....si unaona jana westham wangepata goli mbili ningepata pesa,ila hajapata goli mbili mzigo nimekosa, just simple and clear....
 
Cash out vinginevyo utaikumbuka hiyo

PSG wamechafukwa 1st half kulikuwa na big chances kama tatu hivi wamezitengeneza ambazo naweza kusema ni bahati tu kwa Liverpool hawakuweza kuadhibiwa.
Nilicashout mkuu, Gain ya ef 7 ilitosha, maana nilikuwa nnaipoteza ef 20 yote.
 
Nawapongeza jf kwa kiweka button ya kuignore member na post zake zote.
Maafisa nawaasa haya mambo ya kubonyeza link humu ni utapeli tu, achana nayo kabisa.
 
Aisee psg kakosa magoli jambo la kurocha jana cashout ilishaanza kua nzuri dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…