Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
HapanaMkuu ume switch ukakuta 300,000 ya bureee baada ya kujiunga ๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HapanaMkuu ume switch ukakuta 300,000 ya bureee baada ya kujiunga ๐๐๐๐
Mkuu hizo ni mbinu za kukuhadaa ujiunge lakini hawakuambii ukweli kwamba bonus hiyo ikojeHapana
asa kwanini umemwambia dahMkuu hizo ni mbinu za kukuhadaa ujiunge lakini hawakuambii ukweli kwamba bonus hiyo ikoje
Ili uwekewe bonus ya 300k unatakiwa udeposit 300k
Pili ili hiyo bonus ili iwekwe kwenye acc uweze kuitumia inakupaswa ui stake hiyo 300k mara 3 yake na zote ziwin kwa mikeka yenye game tatu na kila game iwe na odd kuanzia 1.7
Daah, ndo basi tena nilishajiungaMkuu hizo ni mbinu za kukuhadaa ujiunge lakini hawakuambii ukweli kwamba bonus hiyo ikoje
Ili uwekewe bonus ya 300k unatakiwa udeposit 300k
Pili ili hiyo bonus ili iwekwe kwenye acc uweze kuitumia inakupaswa ui stake hiyo 300k mara 3 yake na zote ziwin kwa mikeka yenye game tatu na kila game iwe na odd kuanzia 1.7
Mkuu acha tu aniambie ukweli kwa faida ya wengiasa kwanini umemwambia dah
mimi namuamini kanji tu...mambo ya kupewa bonus baadae yanakua complicated kwenye kupata hera wakati uliahidiwa....si unaona jana westham wangepata goli mbili ningepata pesa,ila hajapata goli mbili mzigo nimekosa, just simple and clear....Mkuu acha tu aniambie ukweli kwa faida ya wengi
Cash out vinginevyo utaikumbuka hiyo
Sportybet anafanya uhuni wa kufunga cash outCash out vinginevyo utaikumbuka hiyo
PSG wamechafukwa 1st half kulikuwa na big chances kama tatu hivi wamezitengeneza ambazo naweza kusema ni bahati tu kwa Liverpool hawakuweza kuadhibiwa.
Hii mechi ina pressure sana kwa walioibetia LiverSportybet anafanya uhuni wa kufunga cash out
hii game toka first leg PSG alitakiwa ashinde maana sio kwa zile chance alizopataCash out vinginevyo utaikumbuka hiyo
PSG wamechafukwa 1st half kulikuwa na big chances kama tatu hivi wamezitengeneza ambazo naweza kusema ni bahati tu kwa Liverpool hawakuweza kuadhibiwa.
Nilicashout mkuu, Gain ya ef 7 ilitosha, maana nilikuwa nnaipoteza ef 20 yote.Cash out vinginevyo utaikumbuka hiyo
PSG wamechafukwa 1st half kulikuwa na big chances kama tatu hivi wamezitengeneza ambazo naweza kusema ni bahati tu kwa Liverpool hawakuweza kuadhibiwa.
Nawapongeza jf kwa kiweka button ya kuignore member na post zake zote.BEE NETWORK
Bee network will be launched this year being established in 2020, mining every 24 hours the same as pi currency
Bee network will be the best network in the world
Bee Network is the world's largest web3 interactive platform. Join by invitation and earn Bee for bigger fortune with one click. Use my invitation code to join and get 1 Bee for free:
Invitation code: jkapinga. Download at Bee Network
Tujaribu na huku wadau wakati tunaendelea kupambana na mhindi
Pole sana afisa, wikendi ndiyo huwa kuna pesa siku zote. Usijichanganye ukahamia katikati ya wiki.bora katikati ya wiki