Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Atletico Madrid ni Wasengerema mamaeeeee na nawaombea washuke darajaa 5,000/= yangu inaniuma sana [emoji19][emoji19][emoji19]
 
NIMEACHA KUBET RASMI hiyo iliyoliwa na kanji inatosha.. maana hamna namna tena
 
Sasa blazaa ule mpango wa vocha vepeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
waungwana ninaswali kwenu kuna mechi moja kama inavyo onekana kwenye picha(namba 11) ilikua cancelled ila home team ilikua imesha pata goli moja na ni hiyotu ndio iliyo shikilia mkwanja wangu.

SASA SWALI LENYEWE NI KWAMBA. KUNA MTU YEYOTE ANAWEZA KUWA ANAJUA TAARIFA ZOZOTE KWAMBA IMEPANGIWA KUCHEZA TENA LINI?

JE NI NDANI YA SAA ISHIRINI NA NNE TANGU IAHIRISHWE AU IPOJE WAKUU.
au niwapandie hewani wenye kampuni?
 

Attachments

  • Screenshot_2016-08-28-07-37-46.png
    30.1 KB · Views: 34



[emoji15][emoji15] duuuh, odds 400+ ... kazi kubwa sn hiyo Chief ...

Aisee umetishaaa sn mzazi.

Cjui utaratibu wa premierbet ... ingekuwa Meridianbet unge-turbo na mambo mengine yangeendelea.
 
mkuu, kama inavyoonyesha, hii mechi iemkuwa ABANDONED, so iitachezwa tena kuanzia dakika iliposimama...mechi hizi huwa hazikai muda mrefu sana...mara nyingi huchezwa ndani ya saa 24...na huenda ikachezwa leo...huwa haiwekwi kwenye fixture tena, so sio rahisi kujua itachezwa muda gani....wewe endelea kuchungulia mkeka wako ukionesha alama ya green kachukue mpunga wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…