Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Asipatikane miongoni mwenu mtu yeyote . . . anayefanya uaguzi, mtu yeyote anayefanya uchawi, mtu yeyote anayetafuta ishara za ubashiri, mlozi, mtu yeyote anayewafunga wenzake kwa uchawi, mtu yeyote anayetafuta ushauri kutoka kwa watu wanaowasiliana na roho, mpiga ramli, au mtu yeyote anayetafuta habari kuhusu wafu. Kwa maana mtu yeyote anayefanya mambo haya ni chukizo kwa Mungu.

—Kumbukumbu la Torati 18:10-12.
 
duh!
 

umeuliza wrong question, umeuliza asiyestahili.., na umeuliza neno lisilo sahihi...kubashiri inaweza kumaanisha guessing,au kutabiri lakini sio betting.translation ya betting ni kamali sasa kaulize hivyo.Pili kubet ni dhambi against yourself,kitu chochote ambacho kitakufanya uwe addicted, usiwe bora in a long term ni KUJIKOsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…