Cetshwayo Kampande
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,405
- 3,267
Dah hatari sana.bado baka akikaa vibaya wahuni betis wanafunga.game nayo hiyo sio ya kuendea kichwa kichwa,ila magoli over 2.5 inatoaComeback ya balaa. Ila kama upo betpawa hiyo tayari imesha andika won kwa sababu ya option yao inaitwa 2up
Wale wa live chat hawashughulikii miamala, ukiripoti tatizo na wao wanakwambia utume email ambayo inashughulikiwa na kitengo husika.Jaribu kuwasialiana na 1xbet watakusaidia zaidi
Mawakala wengi ni wahuni wakifilisikaMimi toka tar 22 februari pesa haijafika mpaka leo.
Ukiwaambia 1xbet wakupe mawasiliano ya hao Katavi hawakupi sanasana watakwambia utume email wanashughulikia wenyewe.
Kibaya zaidi hao Katavi hawapo hata mitandaoni labda utapata contact zao sana sana utamkuta somebody Mwakibete ambaye ameshawahi kufanya kazi hako.
Umakini unahitajika Kwa timu kubwa za la Liga. Ni wadau wa kampuni za betting. Mfano Real Madrid log Yao ipo katika sportybet app.Hivi kuna tofauti gani kati ya madrid na matapeli wa tuma kwa namba hii?!
Huko 1xbet nilitokaga kwa ajili kuna wakala aligoma kutoa hela kisa kuna miamala nilifanya kwa mobile payment nikaamua kuhamia melbet.Mawakala wengi ni wahuni wakifilisika
Jitahidi kutumia mawakala waliowekwa kwenye app yao
Mi namtumia ROMANO yupo very smart
Mayu lete odds za uhakika.
Kampuni zote za mrusi ukichanganya miamala wakati wa kudeposit ujue kwenye kutoa shughuli unayoHuko 1xbet nilitokaga kwa ajili kuna wakala aligoma kutoa hela kisa kuna miamala nilifanya kwa mobile payment nikaamua kuhamia melbet.
Kilichonirudisha huko kuna pesa 1xbet walinipa kwa ajili ya siku ya kuzaliwa ndio nikafikia hadi kudeposit kwa tigopesa.
Mi naona paripesa haina tofauti sana na 1xbet ,mi nashauri watu watumie paripesa kama ni wapenzi wa 1xbet.Wale wa live chat hawashughulikii miamala, ukiripoti tatizo na wao wanakwambia utume email ambayo inashughulikiwa na kitengo husika.
Hao sasa ndio tunawasiliana kwa email kila wakati na nikicheki kwenye account inaonesha ombi lipo active na on progress.
Tena kuna muda wao ndio wananitumia email kabla sijawakumbusha.
Mwisho wa siku nao ni wale wale tu, wote hawana tofauti na 1xBet, hakuna alie kwa halali TzMi naona paripesa haina tofauti sana na 1xbet ,mi nashauri watu watumie paripesa kama ni wapenzi wa 1xbet.
Tumieni paripesa ,mbadala wa 1xbet ,pesa inaingianna kutoka vzuri sana .na sioni utofauti wa hizo campuni mi naona wamefanya mbadala wa jina tu
Hatari jana muhindi kafurahiiii sana...🤣🤣🤣🤣Mkuu jana nilikua busy na harusi nikakosa kabisa muda muafaka wa kusaka odds
Hata hivyo nadhani ningechemka maana toka juzi nilikua nafikiria kumfuata mazima mmoja kati ya Arsenal au Madrid au Barca..... na wote wamechemka😂
Ntakuja na ubashiri baadae