Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Mimi kampuni zangu mbili tu ninazo tumia meridian bet na sporty bet tofauti na hapo Bora nisibet sababu natwe kampuni kama za mrusi miaka na miaka hazitaki kulipa Kodi Ili iendeshe shuguli zake kihalali Kila siku kutumia mawakala tu mtu ukitapeliwa na kampuni kama hizo ni ujinga wakoKwanini bado mnazikomaa nazo?
Kuwa na tahadhari sana kwa kampuni au mtu yeyote anayeficha kazi zake zisionwe na serikali.
Jana nimecheza kujifurahisha hela supu imerudi sema stake ilikuwa ya uoga uogaHakika matokeo ya weekend hii ya time kubwa ni vilio vitupu. Nashauri afisa yeyote asifanye rebet kama mkeka umechanika. Tuiache leo na kesho ipite.
Tijipange kwa wekeend ijayo.
Wale hawafai kabsa inatakiwa uwe unawabetia dau dogo ambalo hutowaza cash outHata sportpesa.
Betika mikeka yao ndio ndoa kikristo. Ukishabeti hakuna kuomba cash out mpaka dakika ya mwisho.
betika wana option nyingi sana wanamzidi sportpesa, shida ni hapo kwenye cashout tu.Wale hawafai kabsa inatakiwa uwe unawabetia dau dogo ambalo hutowaza cash out
Kule nilikuwa napenda option ya NO RED CARD lakn siku hizi haitoibetika wana option nyingi sana wanamzidi sportpesa, shida ni hapo kwenye cashout tu.
duh!.Betting ni ya ajabu sana! Nimeliwa mikeka ya odds 2 mpaka tatu yenye Stake kubwa leo halafu eti nimekuja kula mkeka ambao nilikuwa nimebakiza mia 2 nimekata tamaa nikajibonyezea tu over 2.5 mechi 10 za sa tano mpaka sa saba usiku na zimetoa zote odds 2069🙌 ningeweka hata elfu 5 tu hapo leo kanji angenitambua 😂View attachment 3295413
Tayari wameanza kupeleka motoYanga Win 1half
Lipukaaaa
Pacome mtu wa maana kabisa 🙏Yanga Win 1half
Lipukaaaa
Yan ni bahat tu na ukiangalia hzo timu zilivyotoa magoli ndo utajua siku ya kula utakula tu maana kuna timu mpaka dakika ya 80 ilikuwa na goli moja ikaja kufunga magoli mawili kiajabu ajabu tu! Na hzo timu ni ngumu kutoa magoli kama unavyojua ligi ya Brazil, Uruguay, na Venezuela na Argentina ilivyo ngumu ila over 2.5 imetoaduh!.
odds za kushiba hizo
View attachment 3295491
GAME ZA LEO PARIPESA
Booking Code 👉 RD4ZK
Jisajili PariPesa Hapa ⤵️⤵️
https://cutt.ly/hwKXFbXz
https://cutt.ly/hwKXFbXz
Promo Code Weka👉 TIPS2424
Deposit Upate Bonus Ya Mpaka 300,000 Bure
Atadefence tu leoPyramids odds 4 lipuka