Leo najaribu basket ball lakn liwalo na liweWekeni odd za leo tumtafute mhindi.
Hivi kwanini mnaingia kwenye makampuni yenye usumbufu pamoja na kuonywa,mkikwama mnaanza kusumbua π€£π€£π€£π€£π€£ mfanye tafiti na hizo kampuni zisizoelekewaWakubwa kuna mwingine anatumia hii kampuni ya Melbet na anafanya transaction vyema...?
Nime withdrawal kuanzia jana usiku hadi muda huu naambiwa tu transaction fail, provider ame decline reason ni error kwenye transaction
Hii ipoje wanazi wa Melbet
Zina uhakika sana kuliko hata football mimi huwa nachanganya game zote basketball, tenesi na soccer na zinanitoa vizuri mfano mzuri game ya tenisi jana nilimpa dmitry ashinde na akashinda na hapoel kwenye basketball nae akashindaLeo najaribu basket ball lakn liwalo na liwe
Alafu usiku kuna game nyingi sanaZina uhakika sana kuliko hata football mimi huwa nachanganya game zote basketball, tenesi na soccer na zinanitoa vizuri mfano mzuri game ya tenisi jana nilimpa dmitry ashinde na akashinda na hapoel kwenye basketball nae akashinda
Kabla ya kukushauri utuambie ulideposit bei gani na ukabet bei gani kabla ya kuomba kutoa hiyo 47,500.Wakubwa kuna mwingine anatumia hii kampuni ya Melbet na anafanya transaction vyema...?
Nime withdrawal kuanzia jana usiku hadi muda huu naambiwa tu transaction fail, provider ame decline reason ni error kwenye transaction
Hii ipoje wanazi wa Melbet
Hivi kwanini mnaingia kwenye makampuni yenye usumbufu pamoja na kuonywa,mkikwama mnaanza kusumbua π€£π€£π€£π€£π€£ mfanye tafiti na hizo kampuni zisizoelekewa
Niliweka 10k, nika stake yote 10k, nikapata 23k, nikastake yote nikapata 36k, nikastake 5k jana ndio jumla ikaja 47500Kabla ya kukushauri utuambie ulideposit bei gani na ukabet bei gani kabla ya kuomba kutoa hiyo 47,500.
Mkuu leo tunaendaje maana direct win leo hapo kwenye psg na mechi ya Barcelona kama pana utata maana kanji sio mrahisi kiivyo leo ana wakala wake hapo kwenye mechi hizo mbiliLeo pesa nje nje
Acha uoga mkuu, PSG na Barcelona mpaka fainaliMkuu leo tunaendaje maana direct win leo hapo kwenye psg na mechi ya Barcelona kama pana utata maana kanji sio mrahisi kiivyo leo ana wakala wake hapo kwenye mechi hizo mbili
Unabetije kampuni linaloujumu uchumi wa nchiWakubwa kuna mwingine anatumia hii kampuni ya Melbet na anafanya transaction vyema...?
Nime withdrawal kuanzia jana usiku hadi muda huu naambiwa tu transaction fail, provider ame decline reason ni error kwenye transaction
Hii ipoje wanazi wa Melbet
Kwa hapo changamoto ipo kwao. Jaribu kuwasiliana kwa email.Niliweka 10k, nika stake yote 10k, nikapata 23k, nikastake yote nikapata 36k, nikastake 5k jana ndio jumla ikaja 47500
Hamna kampuni hapoKwa hapo changamoto ipo kwao. Jaribu kuwasiliana kwa email.
Okey sawa ila umakini mkuu tangu nimeanza kubashiri sina muda mrefu ila kampuni nayonona ina uhakika kwenye kutoa na kuweka pesa sportybet, betpawa hizi mimi nimezitumia ni sure π―π―π―π― ofcosuse kinachowafanya watu kuhama kampuni ni condition za odss ila nashauri kabla ya kufanya hivyo zingatia ukishinda unapataje pesa yako kwa urahisi ndipo unakua na kampuni unayoiaminiKuna wadau humu walikua wanaisema haina changamoto ndio maana nikasema acha nijaribu kuweka 10k ,nime win kutia sasa ndio imekua msala
Ongezea hizi piaSimba win, Barcelona win, Berkane win, Coventry City win ππͺ