Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ni HATARI SANA KUBETIA MECHI ZA UEFA ZIKIWA NJE YA LIVE ...HIZI MECHI ZA UEFA NI ZAKUOTEA ODDS ZIKIWA LIVE TU HIVYO HAZIFAI KWENYE MATRENI HATA SIKU MOJA....NI BORA KUSEMA AZAM ANASHINDA YANGA LEO KULIKO KUCHEZA BET ZA UEFA😁😁😁😁
 
Fafanua mkuu
 
Kuna mdau kaniambia kuwa waliongeza dakika 4 but hapo naona nimelost au jamaa kaniongopea
 
Hakuna lolote kila siku mnatoa warning tu humu hatuoni mikela inayowon huu mwaka wa 5 tangu nione mtu kawini pesa za maana humu.


Humu hata 100k wining inaweza pita mwezi mzima hujaona
 
Hakuna lolote kila siku mnatoa warning tu humu hatuoni mikela inayowon huu mwaka wa 5 tangu nione mtu kawini pesa za maana humu.


Humu hata 100k wining inaweza pita mwezi mzima hujaona
Siku zote tunapoliwa ndipo tunajitokeza kulalamika lakini mtu akishinda atalalamika nin ndio maana kila cku unakuta watu tofauti wanalalamika sio wale wale
 
Hakuna lolote kila siku mnatoa warning tu humu hatuoni mikela inayowon huu mwaka wa 5 tangu nione mtu kawini pesa za maana humu.


Humu hata 100k wining inaweza pita mwezi mzima hujaona
Watu wakipost mnaleta kashifa elimu ikitolewa mnakashifu mimi sina muda tu ningekuwa na muda ningesuka mikeka ya pesa ndefu kwa mfumo sahihi lazima ningekuwa nakula sana kwa wastani inatakiwa uwe na matreni yasiyo pungua 14 yaliyo chakatwa ka kanuni sahihi hatua kwa hatua ..
Nilitakaga kutoa elimu hapa hiliwenye muda wawe wanatumia hiyo elimu kutusukia mikeka kasha tuwe tunakuja kuchukua code tu zenye afya ila watu mkaleta jeuri
 
Hakuna lolote kila siku mnatoa warning tu humu hatuoni mikela inayowon huu mwaka wa 5 tangu nione mtu kawini pesa za maana humu.


Humu hata 100k wining inaweza pita mwezi mzima hujaona
Ngoja kwanza nile hiki ki elfu 6 nipate pesa ya bando la leo
 

Attachments

  • Screenshot_20250410-131420_SportyBet.jpg
    140.2 KB · Views: 16
Sawa mzee wa mtaji.


Sb 5SCFWB
 
Mkuu kama kweli unacho sema fanya hivyo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…