Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hahahah, ajabu sn ... inashangaza sn kuona binadamu anataka aonekane malaika, asikosolewe, asipingwe. Very unfortunate
Kila kitu kinamipaka chief mengine hasa kwa utamaduni wetu watanzania hayavumiliki, lazima tuelewe nchi hii rais ni mmoja tu na ndie amiri jeshi mkuu, ndiye mkuu wa serikali na ndiye MKUU WA NCHI, hilo la mwisho watanzania wengi huwa tunalisahau, ni Tanzania pekee ndo utakuta mkuu wa nchi (mfalme) anatukanwa anacheka au mtu anakuwa na ujasiri wa kumtukana mkuu wa nchi, wabadilishe katiba ila kwa hii tulokuepo nayo inabidi kuinisha vichwa tu na tumpe sapoti rais, ni hatua zisizoepukika kiusalama msiende mbali just refer to what happened in Egypt katika mapinduzi ya yalotokea recently ndo utajua the role of government katika hili na hii ni principal wala sio utashi.
 
Huo ndio ukondooo ....... Unainamisha kichwa tu hata kwenye vitu vya msingi ..NYERERE ALISEMA "MKIPATA RAIS HOVYOHOVYO KWA KATIBA HII ILIYOPO ANAWEZA KUAMKA TU ASUBUHI NA KUWA DIKTETA".......
 
Sie tuendelee na hii biashara yetu ya mikeka Chief ... tuachane na hizo mambo
 
Hawa Australia siwasomi leo ... naweza nikatoka hivi??

Western Sydney Wanderers - HT over 1.5
Green Gully - over 1.5
Perth Glory - Yes

Huo ndio ukondooo ....... Unainamisha kichwa tu hata kwenye vitu vya msingi ..NYERERE ALISEMA "MKIPATA RAIS HOVYOHOVYO KWA KATIBA HII ILIYOPO ANAWEZA KUAMKA TU ASUBUHI NA KUWA DIKTETA".......
Hehehe...unamjua dikteta wewe? dikteta hajibu mapigo dikteta anafanya, mie namuunga mkono kiutendaji na hata kwa hili linaloendelea tamuunga mkono pia as far as amani is concerned, nchi hii usione iko kimya hivi licha ya mambo mazito sana kiusalama kulikumba hili taifa miaka ya hivi karibuni hasa Dsm na kwa sababu za kiusalama sio kila kitu kinatangazwa, I wish mngeyajua haya mngemuunga mkono rais, hatuko salama na hili viongozi wetu akina Mbowe wanalifahamu vizuri na ndo hapo tu mie huwa nashindwa kuwaelewa wanasiasa wanafanya haya kwa faida ya nani maana sio Tanzania kwanza tena.... Yameisha haya, tuendeleeni.
 
Huo ndio ukondooo ....... Unainamisha kichwa tu hata kwenye vitu vya msingi ..NYERERE ALISEMA "MKIPATA RAIS HOVYOHOVYO KWA KATIBA HII ILIYOPO ANAWEZA KUAMKA TU ASUBUHI NA KUWA DIKTETA".......

Mkuu nimetoka ban leo, naona umebadili avatar mkuu, nilikusahau
 
kaka picha haionekani vimaandishi vdgo eka large bas

Chief nimechelewa kuiona reply yako ... ila hiyo attachment yangu unaweza ukaizoom km unatumia simu/pc ..

Nimewapa Wins km ifuatavyo ...

Western Sydney
Perth Glory
Bentleigh Greens
Green Gully Cavailers
 
Nipo nayo jirani kabisa ...hahaaaahaaaaa ni hospitali ya kanisa katoliki .....uwiiiiiii..haipo jiji....IPO wilaya ya kwimba tarafa ya ngulla kata ya sumve .....bangosha Nalisata....... Mweeeee mweeeee mweeeee...... Ndio ofisi aseeeee

Nhiiiiiii, Neyoo. Bhehe llekagha mashikholo ghenayo.
 
Mimi hili gundu langu katika soka sijui litaisha lini. Sina bahati kabisa na mpira wa miguu.

Ila pamoja na kutokuwa na bahati leo naona kitu kama hiki kitatokea.

Uganda VS Kenya - Under 2.5 odd - 1.59
Egypt vs Guinea - Egypt win odd - 1.42
 
Uganda vs Kenya - Under 3.5
 
Siujui na sitaki kuujua ..... Kamuulize Nyerere kwa nini alisema Hivyo......
 
tafadhali ndugu zangu naombeni odd 2 tu leo naanza rasmi kuweka 100k
 
tafadhali ndugu zangu naombeni odd 2 tu leo naanza rasmi kuweka 100k
Hahaha...chukua hapo juu zipo za kumwaga Mr Kanjubay maana hiyo avatar yako sijui unadhani ndo atakuonea huruma, watu mnavituko sana aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…