NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
Kumbe leo kuna pesa 😇😇 mkeke nimeupiga msasa huo editHebu twende na hiyo
usicheze direct win kwenye ligi zenye format ya Swiss Model na league phase. timu zinazoaminiwa hazichezi kwa usiriazi. lengo ni kubaki kwenye promotion position tu basi.copenhagen kawa chizi siku hizi, ligi imeanza kimagumashi kweli
usicheze direct win kwenye ligi zenye format ya Swiss Model na league phase. timu zinazoaminiwa hazichezi kwa usiriazi. lengo ni kubaki kwenye promotion position tu basi.
Hii ipo kampuni gani?Magoli hapana sasa
View attachment 3436936
HONGERA SANA MKUU 🙂
Mkuu Kubet kuna miaka kumbe?Kumbe Kuna watu bado wanabet mpaka miaka hii
Kubet Ni adolescence gameMkuu Kubet kuna miaka kumbe?