Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Dah wakuu napitia wakati mgumu kwenye maisha yangu nashindwa nielezeje, depression is real, nisaidieni nimemaliza chuo juzi tu apa natafuta kazi yoyte ya kujishkiza nipo dodoma 0610816834. Niokoeni kwa hili
 
Unatafuta kazi gani
 
hj4ncx.jpg

BET OF THE DAY ⚽

Code 👉 GB8JM

📌 Pata Bonus Ya 300,000 Ukijisajili PariPesa Kwa Kutumia Promo Code👉TIPS2424

Jisajili PariPesa Hapa👉 https://paripesa.bet/tips2424

https://paripesa.bet/tips2424

Promo Code Andika👉 TIPS2424
 
Hivi kwanini unapost Hizi Kampuni ambazo hazina usajili Tanzania?
Mkuu Napost Kwa Sababu Ni Kampuni Bora, zilizo jaa machaguo mengi tofauti na kampuni zenye usijali wa Tanzania. Ulitaka niwe Napost Wasafi Bet, Sport pesa na Betpawa au Sportybet ambazo nikitaka nibet corner inanipa chaguo la over 9.5 au goals zina anza na over 3.5?
 
TAHADHARI WAZEE WA BETTING;

Kuweni makini na kampuni ambazo hazina usajili wa Gaming Board Tanzania mtapoteza pesa zenu.

Makampuni yote ya Kirusi hayajasajiliwa Mtapoteza pesa zenu kama nilivyopoteza zangu Paripesa.
 
Hao matapeli hawana usajili Tanzania...wamezuia pesa zangu nyingi sana.

Nenda pale Gaming Board uone kama watakusaidia.
 
TAHADHARI WAZEE WA BETTING;

Kuweni makini na kampuni ambazo hazina usajili wa Gaming Board Tanzania mtapoteza pesa zenu.

Makampuni yote ya Kirusi hayajasajiliwa Mtapoteza pesa zenu kama nilivyopoteza zangu Paripesa.
Mkuu wewe ndiye huwa unapoteza Hizo hela mbona wengi tunatumia tukishinda hatupotezi hela? Wasafibet imesajiliwa Tanzania kuna watu walishinda hela lakini hawakulipwa
 
Sawa Ila jua hawana ofisi Tanzania na hawana Vibali.

Mimi nina ushahidi
Kampuni gani ulikuwa unatumia mkuu na wakazuia pesa zako?
PARIPESA...Wamezuia 17m

Nimetoka Game Board kuomba msaada wamesema hao matapeli hawatambuliki.

Unabisha niweke chating zao kwenye email na account yangu?

Nina ushahidi sipigi kampuni yeyote Majungu
 
Sawa Ila jua hawana ofisi Tanzania na hawana Vibali.

Mimi nina ushahidi

PARIPESA...Wamezuia 17m

Nimetoka Game Board kuomba msaada wamesema hao matapeli hawatambuliki.

Unabisha niweke chating zao kwenye email na account yangu?

Nina ushahidi sipigi kampuni yeyote Majungu
Million 17 mwana wa mai😳
 
Mkuu ulipo wasiliana na hao PariPesa walisemaje? Sababu ya kuzuia ilikuwa ni nini?
Walitaka documents za utambulisho nikawapa...

Baadae wakataka benki statement ya miezi 3 na risiti za malipo ya umeme,gesi zenye jina langu. Nikawaambia sina...Wakagoma hapo.

Nikasema niende Gaming Board nikaambiwa niandike maumivu tu.Nimecheza upatu tu.
Ingekuwa kampuni imesajiliwa ningekomaa nao hata mahakamani 17m nyingi.

Sasa hao PARIPESA hata physical address hawana ukitaka kuwashtaki unaenda wapi?
 
Back
Top Bottom